Dar: Traffik wa maeneo ya Keko, VETA na TAMEKO mnashida gani?

torotoro

Member
Sep 11, 2019
11
5
Nduguuu mwana JF hivi ushawahi kupita barabara ya Makumbusho-Mbagara kupitia Karumee? so

Msoto uliopoo pale mataa ya Karume kuvuka kwendaa VETA/Tameko/Kekoo jaman mtu unakaa zaid ya dakika 40 hadi saa nzimaa uko kwenyee foleni tuu unaona tuu gari zinaruhusiwa ni za kutoka Kariokoo basi

Utaratibuu huu ukoje maana kwa foleni iliyokuwepo jana na leo unaeza hata kulia kwa kusimama kwenye gari traffic mliokoo zamu maeneo hayoo unamatatizo gani

Hivyo hivyoo kwa upandee wa kutoka uwanja wa Taifa kuingia uhasibuu jaman foleni na msoto ulioko pale si wa mchezo utadhani si watu walioko kwenye magari ni mother body tuu na si abiria walioko kwenye magari ni jamboo la kuumiza nafsi kwa mlalahoi alie toka kubeba gunia za mizigo na kazi ngumu sanaa anafikia hatua analala kwnye gari mwishowe anapitizaa kituo

Traffic mnapangwa maeneo hayo shidaa nini?
 
Back
Top Bottom