Recent content by torobiz

  1. torobiz

    Siri usiyoijua kuhusu ndoto na tafsiri zake

    Mimi nimeota mwanamke niliyeachana nae ndio mpenzi wangu kwa kipindI hiki lakini ana mwanaume mwingine ikafikia kipindi akaniacha akapata nae mtoto je hii ina maana gani
  2. torobiz

    Pata bati zenye ubora

    Chukua mawasiliano mkuu utaelekezwa vizuri zaidi
  3. torobiz

    Pata bati zenye ubora

    Je ungependa kuezekea bati bora na za kisasa zenye rangi?almaarufu kama msouth?basi usipate tabu tutakuhudumia kwa hitaji hilo ......tuna bati za gauge 30 na 28 rangi zote kijani,bluu,nyekundu,damu ya Mzee au coffee...bei zetu ni nafuu sana Kwa mawasiliano tupigie 0652721632 au 0746841169 wote...
  4. torobiz

    Yametimia ya Magufuli baki: Juma Nkamia awasilisha muswada Rais kukaa madarakani miaka 7 kama Kagame

    Yaani jitu badala liombe mabadiliko ya katiba ya maana linaomba ujinga ujinga kweli tuna shida sana sisi watz aisee yaani nkamia km ni baba angu nabadilisha jina la ubini mambo hayo wafanye kina mgimwa siyo huyo shame on you...!!!
  5. torobiz

  6. torobiz

  7. torobiz

    Uongo wa CHADEMA waanza kuwatokea puani, Lisu alivaa shati la Blue na si Jeupe wakati wa tukio

    Mbona mnahangaika sana lissu kasema anawajua tulieni apone basi kwanza
  8. torobiz

    Thinking Deeply: Ilikuwaje Tundu Lissu akavuliwa nguo zote na kupewa dereva badala ya mke wake?

    If this is thinking deeply then my dear your IQ is zero
  9. torobiz

    Ni nani alitaka kumuua Tundu Lissu?

    lissu alifatiliwa kwa wiki tatu na usalama nae akatoa maelezo but serikali ikakaa kimya Leo target imetimia how come unatuambia serikali haihusiki!??ni watu wenye chuki na lissu yes ila ndio hao waliopo ndani ya serikali..!!
  10. torobiz

    Sakata la madini: Tuondoe siasa tuungane na MH Rais Magufuli

    siwezi kumuunga mkono mwizi yeye mwenyewe ana hofu akiondoka madarakani atakaekuja anaweza ibua ya kwake..mfano ununuzi Wa pantoni la bagamoyo...!
  11. torobiz

    Kuhusu vita vya rasilimali: CHADEMA ituombe radhi na kujiunga na watanzania!

    Nina wasiwasi na upeo wako Wa kufikiri ccm ndio ya kuomba radhi watz wote maana madudu haya yote wao ndio wamefanya wizi Wa madini ccm,escrow ccm lugumi ccm radar ccm kila wizi ni ccm na wanachokifanya now ni kujaribu kula matapishi yao...lakini still ripoti zote hazina positive...
  12. torobiz

    Haya hapa maujanja ya kumfanyia mwanaume wako kama unajua michepuko yake

    na aliyekuambia michepuko inaseviwa kwa majina yao halisi kakudanganya
  13. torobiz

    Jina lako la kichawi

    y n e kwa kutumia jedwali la juu inakuja mysterious wand..!??
  14. torobiz

    Pamoja na umaarufu alio nao Alikiba kwa nini Bado Maskini na Diamond platnumz ni mwanamuziki tajiri?

    kiba hapendi kujionesha kwasababu kwake anaona vya kawaida ila mond lazima apagawe kwa maana maisha aliyopitia ni ya choka mbaya Sana'a!!
  15. torobiz

    Official Video: Seduce Me by Ali Kiba

    Mimi nimo
Back
Top Bottom