Recent content by Torino Fc

  1. Torino Fc

    DOKEZO Kuna Walimu wa Shule ya Sekondari wanaharibu maisha ya Wanafunzi wa kike Kilwa (Lindi)

    Huna hoja zaidi unaleta speculation kitu ambacho sio sawa. Kama unania njema taja Mwl. Kampa mimba mwanafunzi jina na kidato. Hoja yako ni mfu mambo ya siasa tena miaka kadhaa unayaleta leo acha umaamuma. Hiyo kata inazo shule tatu za sekondari ni ipi miongoni mwao lete na majina ya wahusika...
  2. Torino Fc

    Kim Jong Un amepiga marufuku kusherehekea sikukuu ya Krismasi

    Ninaposoma hii habari ya wakongongomani inanikumbusha ile misa tulioyohudhuria kule Ecudor sijui lakini tulikuwa Amerika ya kusini...
  3. Torino Fc

    Club za mpira wa miguu duniani zinazoongozwa kwa mfumo wa hisa ni hizi

    Huu ndio ugomvi wa ngumi kabisaaa[emoji2]
  4. Torino Fc

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Uzi mzuri mno huu hebu naombeni kwanza Nurueli Mng'alo wa Silva na Edi shegi milima ya kwetu...
  5. Torino Fc

    Mpaka kufikia tarehe 31 Desemba, Magufuli atawaacha midomo wazi

    Hakuna jipya zaidi anatuonyesha namna tuliowaamini walivyokuwa na ndimi mbili. Sitashangaa kumwona mzee naye akirudi alikotoka. Kimsingi anatujenga kuwa wakatili.
  6. Torino Fc

    Baada ya kufika Moscow leo nimeamua kufuatilia saga la Dr. Shika, kumbe anasema ukweli

    Mmmh kwa hili bado sijashawishika...yaaani hiyo pc imepigwa mwaka gani kukiwa na aina hizi za mavazi na umri wake inamaana amezeeka hivi karibuni. Unless hii pc iwe ni ya kijana wake but hatuwezi kumeza kila kitu NOUU
  7. Torino Fc

    Baada ya kufika Moscow leo nimeamua kufuatilia saga la Dr. Shika, kumbe anasema ukweli

    Hii series inanikumbusha ile tamthiliya ya The Bolday And The Beautiful. Mimi hii story kwa kweli imenifungua mambo mengi i.e kuna family friend mmoja alienda urusi kkusoma zaidi ya miaka nane baadaye akaenda America kufanya kazi takribani miaka mitano kisha akaamua kurudi nyumbani kuoa. Baada...
  8. Torino Fc

    Tanzania kwenye siasa za Zimbabwe

    Ukitaka kujuwa ushawishi tunauwezi bado angalia movie za kina Bashite, chairman,yule ex speaker wa moja ya klabu kongwe na yule mtoto wa n*je wa yule babu pale tanzania. Ushawishi tunao sema tumejikita zaidi ndani kwa maslahi mazima ya tumbo zetu.
  9. Torino Fc

    Je wajua "cognitive interviews" za kiintelijensia

    Nalisubiri andiko lako kwa hamu na hamumu kiongozi....
  10. Torino Fc

    Je wajua "cognitive interviews" za kiintelijensia

    Tuongezee kiongozi sisi vilaza tupo tayari kula....
  11. Torino Fc

    Je wajua "cognitive interviews" za kiintelijensia

    Umetishaaa[emoji23][emoji23]
  12. Torino Fc

    Balozi Chokala aeleza walivyomsafirisha Dk. Shika kijajusi

    Udadisi huu Upekenyuaji huu Umakini huu tulionao wa TZ right kwamba ingekuwa tunawekeza katika uzalishaji leo tungekuwa kama China tu unlike wenzetu wapo busy na issue za kuongeza kipato. Nimejaribu kuutoa usaha uliokichwani kuangazia masuala mazima ya tetesi zinapotokea hapa nyumbani.
  13. Torino Fc

    Dkt. Louis Shika: Undercover informer aliyenusurika kifo ughaibuni?

    Unawazungumzia waandishi aliowakataa NKAPA kuhojiwa nao au hawa wa D2. ... [emoji23][emoji23]
  14. Torino Fc

    Dkt. Louis Shika aeleza Magumu aliyopitia hadi akatoroka Urusi. Alitekwa na kukatwa Vidole, Tanzania ilimtelekeza...

    Naisikia harufu ya kijasusi.... Ana jambo lake na watu wake...America... Haingii akilini majambazi yakukimbize uziache mali zako while serikali inao uwenzo wa kukupa ulinzi. Dr. Anasema 500 investors waliuwawa hapo Russia! Waliuwawa na mambazi?! Ama watu wa kazi...Dr.analake jambo
Back
Top Bottom