Tanzania kwenye siasa za Zimbabwe

Tanzania kwenye siasa za Zimbabwe

Siku zote kichafu huzaa haramu ccm haina usafi wa kuitakatisha serikali ya rais mgabe.
Hawa wezi, wachawi, wanaouana usiku kucha kisa madaraka. Acheni Mungu aitwe Mungu.
Siku zote huwezi kuumizwa ukampita Mungu ndiyo maana kafichama angekuwepo na ofisi zake mubashara pasingetosha. Aendelee kufichama.
 
Ukitaka kujuwa ushawishi tunauwezi bado angalia movie za kina Bashite, chairman,yule ex speaker wa moja ya klabu kongwe na yule mtoto wa n*je wa yule babu pale tanzania.
Ushawishi tunao sema tumejikita zaidi ndani kwa maslahi mazima ya tumbo zetu.
 
Hivi hili la Zimbabwe tumeamua kukaa kimya? Tumeshiriki kuikomboa na kuijenga ile nchi.

Tumeamua kuacha Mugabe afike hatua hii? Nini nafasi ya CCM kwenye vyama hivi vya ukombozi ambavyo vilijengwa na manguli wa siasa wa Tanzania? Hivi hatuna tena commreds ambao Mugabe anaweza kuwaonea aibu wakafikia muafaka bila aibu inayoelekea kuja kwa mzee wetu?

Mnategemea Mugabe aheshimu ujumbe kutoka South Africa ambayo haipi heshima kiwango cha Tanzania sababu ya Nyerere? Tunahitaji kurudisha ule ushawishi wetu kwenye siasa za dunia.

Akina Mugabe ndio wazee wetu na heshima yetu, tusisubiri aibu ya Gadafi tukaja kulaumiana baadae.

Tanzania tunaweza kufanya kitu (hapa nazungumzia international politics tusilete siasa zetu za ndani).
kweli mkuu. mimi nakubaliana na wewe.
 
Umesema kweli kabisa. Kumbuka kwamba enzi hizo, Tanzania ilitoa si tu ardhi, na facilities za kijeshi kusupport vyama vya ukombozi, bali pia watu wetu walikuwa msitari wa mbele katika mapigano huko. Hali ilivyo sasa hivi si tu kwamba hatuna itikadi ya kueleweka, bali pia hatuna material support tunayotoa. We also lack the philosophical, ideological and diplomatic sophistication that is required to influence events in other parts of Africa. Nyerere was a giant in that arena.
Leo Nyerere anatukanwa sana kwa kutumia rasilimali zetu kwenda kupigania uhuru wa nchi zingine.

Wanao mtukana wanasema hatuna maendeleo sababu ya wema huu uliopiliza.

Binadamu hatambui anahitaji nini. Ukimpa hiki anataka kile na ukimpa kile anataka hiki ilihali uwezo hauruhusu kumpa vyote kwa wakati mmoja.
 
Siku zote kichafu huzaa haramu ccm haina usafi wa kuitakatisha serikali ya rais mgabe.
Hawa wezi, wachawi, wanaouana usiku kucha kisa madaraka. Acheni Mungu aitwe Mungu.
Siku zote huwezi kuumizwa ukampita Mungu ndiyo maana kafichama angekuwepo na ofisi zake mubashara pasingetosha. Aendelee kufichama.
kwa hiyo unataka kusema akina mbowe na lowasa ndo wanaweza kuwashauri makamanda wa zimbabwe?? kweli unachekesha sana wewe.
 
Back
Top Bottom