Recent content by topr

  1. topr

    JamiiForums Tanzania Hivi inakuwaje kwenye kila familia kuna mtu mmoja anayesumbua sana?

    Yanii umenikumbusha mamaangu mkubwa alikuwa na watoto5 Ila mtoto wake wakwanza alikuwa nikichomi balaa mvuta bangi mtu wakuowa na kuacha mlevi akija nyumbani na mwanamke anamkataza kufanya kazi sio house girl wanalala tu na mwanamke wake mama ake (mamkibwa) apike chakula awapelekee chumbani...
  2. topr

    JamiiForums Tanzania Kama umewahi kushuhudia live nguvu za giza pita hapa uweke ushuhuda wako

    Aiseee Mungu atusaidie Sent using Jamii Forums mobile app
  3. topr

    JamiiForums Tanzania Experience ya ajabu. Hivi ndivyo nifanyavyo ninapopata Mshahara

    Ilimsaidiaaga sana mume wangu mpaka Leo mwaka wa 5 alipo weka wazi kipato chake kwangu mkewe na kuacha kadi yeye ni wife pesa imeingia naenda bank twaja timiza malengo yetu na pesa ya chakula kubaki pocket many yake 50000 maisha yanaenda tena kwa aman kikiisha unajua akipo Before huu utaratibu...
  4. topr

    JamiiForums Tanzania Jenerali Mabeyo awasili Njombe kufuatilia mwenendo wa matukio ya utekaji na mauaji ya Watoto

    Hahhhh yani tz now days aieleweki kesho siro ataenda nae Sent from my TECNO K7 using Tapatalk
  5. topr

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Toka nifike kwa kaka shemeji yangu nahisi anamuendesha kaka (Bushoke)

    Pumbavu nyie ndo ndugu vichomi kumfulia mkewe chupi imekuuma kwani iyo kifunikwa chupi anakitumiaga nani Rudi kwenu kama unataka ata kaka ako aendelee kukusalimia Sent from my TECNO K7 using Tapatalk
  6. topr

    JamiiForums Tanzania Picha: Watu wawili wanaofanana na Rais Rodrigo Duterte na Rais Kim Jong-un wazua vioja Hong Kong

    Why now ndo wajitokeze nop kama awajavaa sura za bandia kunakitu nyuma ya pazia Sent from my TECNO K7 using Tapatalk
  7. topr

    JamiiForums Tanzania Nani anastahili seat na kwa nini?

    Kuna baba mmoja Jana kaona nimemlipia dogo siti wote tunaumwa amna kubebana kaanza tokwa povu or unamfundisha nn mtoto atakama umelipia nikamwambia mzee dogo anaumwa afu we umepanda apa tu saiv kuna raia nimetoka nao mwanzo wa gari wamesimama na wamemuona dogo we ujiulizi kwann awajatokwa povu...
  8. topr

    JamiiForums Tanzania Ili uchumi ukue, tukubali Rais aongezewe muda hata miaka 20 Ili amalizie miradi yake yote

    Miradi yote huachiana labda kama unaajenda nyingine tofauti na miradi
  9. topr

    JamiiForums Tanzania Elimu juu ya pepo/mapepo

    Kunamtu alisema nirahisi sana kuomba pepo likatoka kuliko kumuombea mtu alie shikwa na mizimu sijui ukweli upoje
  10. topr

    JamiiForums Tanzania Gari lililotumika kumteka Mo Dewji lina namba za usajili za Msumbiji

    Usije mkamata tuu kwa kuendelea kumvua nguo kamanda na vipicha vyake vya techno
  11. topr

    JamiiForums Tanzania Dawa na jinsi ya kuwa tajiri mkubwa Afrika na dunia kiujumla,pitia hapa

    We upo kwenye no ngap ya utajiri
  12. topr

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wake ni chanzo cha nyumba ndogo

    Na mnaongoza kuowa na kuacha kisa dini bado unawake 3 na unachepuka wanaume amrithikagi ilo ndo jibu ata upewe kila siku Mara 3 bado tu utataka na ya njee uonje Yaani mpo kama paka ataa ashibe vipi panya akikatiza atamuwinda tu ata kama amli atamchezea tu
  13. topr

    JamiiForums Tanzania JF ilipotaka kuchukuliwa msukule kisha igeuke zombie

    [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]kweli imekataa kuwa zombi
  14. topr

    JamiiForums Tanzania DAR: Ndugu wa Akwilini wachangisha fedha za usafiri ili kukodi magari

    [emoji56] In magekimambi voice[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
  15. topr

    JamiiForums Tanzania Tunda amuomba msamaha mke wa sponsor wake (mke wa Kinje) baada ya video iliyovuja

    Sikuizi atuwaachi na sisi tunatafuta mtu anatubutua tukirudi nyumbani ngoma droo
Back
Top Bottom