Experience ya ajabu. Hivi ndivyo nifanyavyo ninapopata Mshahara

BEHOLD

JF-Expert Member
Nov 17, 2013
5,057
10,715
Ni ngumu na inataka commitment. Experience ya maisha yangu kila nipatapo kamshahara huwa nawaeleza familia yangu kisha tunakaa tunaupangia matumizi au bajeti kwa vipaumbele vyetu ndani ya familia. Maisha yanaendelea smoothly and peacefully.

Nimesema ni experience ya ajabu haswa kwa uafirika wetu kuruhusu watoto na Mke wajue all that you earn na halafu mpange matumizi kwa pamoja, ni ngumu kwa hulka, but naamini natengeneza amani, upendo na furaha ndani ya familia.

Nadhani ni watu wachache na adimu mno wa calbre hii yangu!!
 
Nadhani ni watu wachache na adimu mno wa calbre hii yangu!![/QUOTE

Ukifanikiwa njoo utujuze zaidi
 
Ni ngumu na inataka commitment. Experience ya maisha yangu kila nipatapo kamshahara huwa nawaeleza familia yangu kisha tunakaa tunaupangia matumizi au bajeti kwa vipaumbele vyetu ndani ya familia. Maisha yanaendelea smoothly and peacefully.

Nimesema ni experience ya ajabu haswa kwa uafirika wetu kuruhusu watoto na Mke wajue all that you earn na halafu mpange matumizi kwa pamoja, ni ngumu kwa hulka, but naamini natengeneza amani, upendo na furaha ndani ya familia.

Nadhani ni watu wachache na adimu mno wa calbre hii yangu!!
Mshahara sawa je na posho pia wanajua umepata ngapi na huwa unaweka mezani pia kupangiwa hesabu..

system yako nzuri nataka niadopt it ila nawaza helabya kuonga na ya kuchil na washkaji siku za weekend nitaipata wapi!
 
Mi na wewe tunatofauti kidogo mi huwa nampa mshahara wote wife na sijawahi juta kila kitu kinaenda sawa na hatuna deni lilote kwa mangi japo kimshahara ni kiduchu

Sent using Jamii Forums mobile app
Siku mkeo akibaini kuna njemba inatumia bajeti kama yenu kwa drinks per day.....atakuona you are less than a man....ni maoni tu.....
 
Ilimsaidiaaga sana mume wangu mpaka Leo mwaka wa 5 alipo weka wazi kipato chake kwangu mkewe na kuacha kadi yeye ni wife pesa imeingia naenda bank twaja timiza malengo yetu na pesa ya chakula kubaki pocket many yake 50000 maisha yanaenda tena kwa aman kikiisha unajua akipo
Before huu utaratibu nilikuwa naitaji pesa kuliko ata kipato chake cos sikujua .
Kama unafamilia mfumo huu ni mzuri sana na unaleta aman ndan

Sent from my TECNO K7 using Tapatalk
 
Hongera sana Mkuu ni jambo jema sana hilo ulifanyalo linaifanya familia iwe very close.

Ni ngumu na inataka commitment. Experience ya maisha yangu kila nipatapo kamshahara huwa nawaeleza familia yangu kisha tunakaa tunaupangia matumizi au bajeti kwa vipaumbele vyetu ndani ya familia. Maisha yanaendelea smoothly and peacefully.

Nimesema ni experience ya ajabu haswa kwa uafirika wetu kuruhusu watoto na Mke wajue all that you earn na halafu mpange matumizi kwa pamoja, ni ngumu kwa hulka, but naamini natengeneza amani, upendo na furaha ndani ya familia.

Nadhani ni watu wachache na adimu mno wa calbre hii yangu!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom