Haha! Tunashindwa kuelewa, ni kheri wangeiacha kama hawana bajeti au uhakika wa kuitengeneza kuliko kuchimba na kuharibu mtaa mzima alafu unautelekeza. Shughuli za mtaa mzima zimekua affected, mvua ikinyesha ni balaa mtaa mzima.
Mnamo mwaka jana 2025 mwanzoni, serikali ilitangaza kuboresha barabara ya Kinondoni kuanzia Wakulima Road (usalama) mpaka Mtaa wa Binti Matola (mtaa opposite na mwembe jini, unaoenda mpaka V Ways) kwa kiwango cha lami.
Viongozi pamoja na mkandarasi walikaa kikao na sisi wakazi wa eneo husika...
Kwa zaidi ya wiki sasa mtandao wa vibali vya kazi Kazi | ePermit unaosimamiwa na Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Ajira na Mahusiano haufanyi kazi. Kabla ya kwenda chini kabisa, website ilikua slow vibaya mno, ila sasa ni zaidi ya wiki website haipatikani kabisa.. ukiwapigia wanasema wanafanya...
G20 inawakilisha zaidi ya 80% ya Pato la Taifa duniani na karibu 75% ya biashara ya kimataifa. Kushiriki kwa Tanzania kwenye mkutano wa G20 kutawezesha kuimarisha uhusiano na nchi zenye nguvu kiuchumi, hivyo kufungua milango ya ushirikiano wa kiuwekezaji.
Mfano: Afrika Kusini, mwanachama wa...
Nah! Haipo active. Ni kama tumekutana wote tupo busy na maisha. Mtu anaeza request troops leo ukaja keshokutwa ukakuta request yake bado ipo. Labda kapewa troops 5/20. Clan haipo active kabisa.
Townhall 9 Level 87 mkuu. Nimekwama hapo kitambo nimepunguza kuicheza, huku mbele inazidi kuwa ngumu ku loot(opponents are tough). Inanipa uvivu maana sina muda na majukumu ni mengi[emoji28]
Tuulize au waulize wanaoishi upanga. Huo mlipuko tumeusikia usiku na wengi wetu tumeamka. Sasa kama unataka kutuaminisha ilikua baruti sawa. Na transformers kila siku zinalipuka huku tushazizoea. Sasa cjui utasema ni nini?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.