Nina 8M nahitaji Toyota Allex, RunX au IST

Nina 8M nahitaji Toyota Allex, RunX au IST

God knows

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2011
Posts
276
Reaction score
173
Nahitaji gari ya kununua kwa mtu.

Iwe Toyota Allex, Runx au IST.

Namba D, reasonable mileage.

IST itapewa kipaumbele.

Sihitaji dalali kwa sababu sina pesa ya kumlipa.

Aliye na gari anitumie ujumbe kwenye PM, au anipe namba yake nitamtafuta.

Hela ipo cash.

Natanguliza shukrani. Location DSM.
 
nina HONDA FIT mpya kabiza namba T...CZ
upload_2017-12-21_12-16-21.png

upload_2017-12-21_12-18-57.png

huwa siitumii nimepaki home baada ya kununua gari nyingine, ni pm
 
Wadau, hakuna mtu anayeweza kunipa hiyo gari? Sijapata hadi leo......
 
Sio ndogo sana, sema madalali ndio wanazingua, wanataka 8.5 kwa namba D. Naamini nikimpata mmiliki moja kwa moja, 8M ni valid price.
 
Sio ndogo sana, sema madalali ndio wanazingua, wanataka 8.5 kwa namba D. Naamini nikimpata mmiliki moja kwa moja, 8M ni valid price.
Ngoja nikutafutie gari nikunganishie na mmiliki direct...
Alafu hakuna mtu anayeweza kukutafutia gari bila Kumpa maji ya Kunywa awe dokta,lawyer,mhandisi,mhasibu etc kila mtu anataka cha udalali......
We ni ni pm # nikufanyie hyo kazi

Ova
 
Umesema ukweli
 
Kubali uwape madalali laki wakupe gari. Mwishowe utajikuta umetumia iyoo laki mbili kutafuta mwenyewe.
 
Kuna Dogo mmoja Instagram huwa anazo namba D sana sana jina nimesahau ntakutumia nikimsechi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom