Recent content by Too face

  1. Too face

    JamiiForums Tanzania Niwafanye nini hawa watu..?

    Asante sana kwa huu ushauri Umenigusa sana Hadi machozi .. Nitaufanyia kazi🙏
  2. Too face

    JamiiForums Tanzania Niwafanye nini hawa watu..?

    Wp ndo Nini mkuu
  3. Too face

    JamiiForums Tanzania Niwafanye nini hawa watu..?

    Sawa
  4. Too face

    JamiiForums Tanzania Niwafanye nini hawa watu..?

    🤣🤣🤣 Mbona zenji!! Si nimesema nawaacha kwa baba Yao au..( jokes) Asante kwa ushauri mkuu
  5. Too face

    JamiiForums Tanzania Niwafanye nini hawa watu..?

    Kwa bahati mbaya ..huwezi pata. Kwahiyo nikifa hao watoto watakuwa hawajaachwa et..
  6. Too face

    JamiiForums Tanzania Niwafanye nini hawa watu..?

    Mmmh .. Asante
  7. Too face

    JamiiForums Tanzania Niwafanye nini hawa watu..?

    Ndio mawazo yenu wanaume🥲 Si kila anayetaka kuacha watoto ni Malaya!
  8. Too face

    JamiiForums Tanzania Niwafanye nini hawa watu..?

    Why mchepuko ..mchepuko.. hivi ukiwa nje ya mfumo ni lazima uchepuke? Kwani lazima kuwa na mwanaume? Hii legacy imekaaje hii ...
  9. Too face

    JamiiForums Tanzania Niwafanye nini hawa watu..?

    Mmmhh
  10. Too face

    JamiiForums Tanzania Niwafanye nini hawa watu..?

    🤣🤣🤣🤣🤣 Wee hunitakii mema!
  11. Too face

    JamiiForums Tanzania Niwafanye nini hawa watu..?

    Sawa ila hapo mwisho hapo Akiba kutoka PESA zipi?
  12. Too face

    JamiiForums Tanzania Niwafanye nini hawa watu..?

    Yaani ..ukichaa nahisi!!
  13. Too face

    JamiiForums Tanzania Niwafanye nini hawa watu..?

    Inawezekana hata huko nyuma alikua mchepukaji mzuri tu sema sikumzingatia!! Usimtetee bana Kuna muda mapenzi hayalazimishwi .. mwanamke mwenye watoto 3 Huwa haondoki kwake bila sababu boss wangu . Vipi nimkamate nimpe mingumi??😁😃
  14. Too face

    JamiiForums Tanzania Niwafanye nini hawa watu..?

    😁😁😃😃😃😃 Dah nimecheka kwa huzuni!! Hii Yako ni kubwa sana aseee ..hivi unawajua hao mambwa vizuri . Kwanza alivyo na wivu! ..NITAGEUZIWA KIBAO KUWA Mimi NDIYE Malaya mkuu na aibu itakua juu yangu.. alafu wengine uongo hatuwezi NITADAKWA MCHANA KWEUPE! 😂😂
  15. Too face

    JamiiForums Tanzania Niwafanye nini hawa watu..?

    😁
Back
Top Bottom