Msaada: Kozi gani nzuri kwa mwanafunzi aliyesoma tahasusi ya PCM

Too face

JF-Expert Member
Feb 9, 2015
223
199
Msaada,

Ni course gani nzuri ya kusoma Chuo Kikuu kwa mwanafunzi aliyesoma PCM advance kwa kuzingatia soko la Ajira nchini.

Nitashukuru kama ukinitajia course na unakua nani baada ya kumaliza chuo. Mfano mwalimu, engineer, accountant etc..

Thanks
 
Msaada ...

Ni course Gani nzuri ya kusoma chuo kikuu Kwa mwanafunzi aliyeSoma PCM advance?
Kwa kuzingatia soko la Ajira nchini..

Nitashukuru kama ukinitajia course na unakua nani baada ya kumaliza chuo... mfano ..mwalimu,engineer ,accountant etc..

Thanks
Hata hayo uliyoyaorodhesha ndiyo yanawezekana kwani wewe ipi passion yako? Dunia ya leo achana na hayo mambo ya kuajiriwa kama kipaumbele fanya kile ambacho kitakupa wigo mpana wa kuweza kufanya lingine nje na ajira.
 
Msaada ...

Ni course Gani nzuri ya kusoma chuo kikuu Kwa mwanafunzi aliyeSoma PCM advance?
Kwa kuzingatia soko la Ajira nchini..

Nitashukuru kama ukinitajia course na unakua nani baada ya kumaliza chuo... mfano ..mwalimu,engineer ,accountant etc..

Thanks
Matokeo ya form six yametoka leo, umepata division ngapi? Tuanzie hapo kwanza.
 
Actuarial Science, Chemical Engineering, Mathematics & Statistics, Civil engineering, Computer Science, Computer technology, Petroleum.
 
Msaada,

Ni course gani nzuri ya kusoma Chuo Kikuu kwa mwanafunzi aliyesoma PCM advance kwa kuzingatia soko la Ajira nchini.

Nitashukuru kama ukinitajia course na unakua nani baada ya kumaliza chuo. Mfano mwalimu, engineer, accountant etc..

Thanks
Computer engineering na Finance.
Asome Finance degree aajiriwe kama trader kwenye Financial institutions na pia individually pale Upwork. Kazi mpaka Dola 100 kwa saa.
 
Back
Top Bottom