Updates: Maombi ya Vyuo Vikuu kwa Mwaka 2023/2024

Updates: Maombi ya Vyuo Vikuu kwa Mwaka 2023/2024

Jaman sahanin tuna shid karib diploma nzima taarifa zetu nacte hazijawa verified tumeend kuuliz nacte tumeambiw matokea bado hayajatumw .... Naomben mnipatie solution japo hat nifanye nn kwa sas ambapo mud naon umebak mchach[emoji120][emoji120]
 
Chuo ndo kinatuma matokeo nacte mfano mimi chuo nilichosoma wengi walikua na shida iyo Ila chuo ndo kinasolve na wamepata AVN sasaivi kwaiyo wasiliana na chuo ulichosoma diploma yako waambie ujapata AVN na matokeo ayajatumwa nacte apo nacte huenda wana matokeo yako ya diploma 1 au certificate vyuo ndo vinakwamisha watu na kuwacheleweshea NACTE wao sio makosa yao

WASILIANA NA CHUO CHAKO WASUBMITE MATOKEO NACTE ili upate AVN na uombe chuo na mkopo bila Ivo itakucost wewe
 
Karibuni hapa tupeane taarifa na habari za hapa na pale kwa maombi ya vyuo vikuu kwa mwaka huu wa 2023/2024.

Kwa wanafunzi wanaoomba au wazazi,walezi,ndugu na marafiki mnaowasaidia ndugu zenu kwenye maombo huu ndo uwanja wa kukuhabarishana.

Hizi hapa ndiyo guidelines zinazotumika kwa form six na wale wa diploma wanaoenda kuchukua degree ya kwanza.
View attachment 2688579
View attachment 2688578

Na hii ndiyo Almanac au ratiba nzima itakavyokuwa kwenye mchakato wa mwaka huu. Maombi yameanza rasmi leo tarehe 15 Julai na yanategemewa kufungwa tarehe 4 Agosti katika raundi ya kwanza.
View attachment 2688581
Msaada hivi kama mtu amerisiti mtihan anatumia namba gan ku apply
 
Jaman msaada nataka kujua kama mtu ame risiti mtihani wa kidato Cha nne kwenye ku apply vyuo atatumia namba ipi ?
 
Back
Top Bottom