hapana maisha ya mjini ni ghali hasa upande wa kodi.kama una sehem ya kuishi vitu vingine ni.ziada.kwa mtazamo wangu mm naona nyumba kwanza vingine baadea sana
Mwanamke msomi mwenye sura kama mwanaume,
Mwanamke ambaye ni mzuri lakini hajaenda shule
Mwanamke wa kijijin mwenye bidii katika kazi na sura kama dume,
Mwanamke wa mjin mwenye sura kama dume?
msaada tafadhali.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.