speechless
Senior Member
- Oct 1, 2013
- 101
- 27
^^
Yalinikuta nadhani nikianza kusimulia ntajaza server za JF..nilijifunza mwanamke ni wa kutazama tu ukitosheka unaendelea na maisha.
Thank God am free and happy without them
^^
mkuu mie pia n mmoja kati y broken hearted men so nimekuelewa mbaya!