Recent content by Tonny Miles Franklin

  1. Tonny Miles Franklin

    Kuna mtu anamchukia Mama yake mzazi?

    Kama wewe unaishi vizur na mama yako shukuru mungu tu mzee. Lakini watu wanapitia mengi kama huja tembea au kuwa mtu wa watu na kujichanganya huwezi jua wala kuelewa.hizi mambo.
  2. Tonny Miles Franklin

    Kuna mtu anamchukia Mama yake mzazi?

    Always dont judge before hearing other side of the story
  3. Tonny Miles Franklin

    Unaweza kurudisha videos zilizo-corrupt?

    Nimeshajaribu hizo njia mkuu. 0-0
  4. Tonny Miles Franklin

    Unaweza kurudisha videos zilizo-corrupt?

    Salama wadau, Kama kichwa kinavyo eleza. Nina footages nili shoot sasa baada ya kuzihamishia kwenye pc kuna baadh yakawa corrupted. Video hazi play lakini ukicheck properties zinasoma nyingine 1.9gb nyingine 600mb Kama unaweza kurevive hizo footages tuwasiliane 0742 037 876
  5. Tonny Miles Franklin

    Character yupi wa Prison break alikuvutia?

    Anaitwa David "Tweener" Apolski.. alipigwa nyundo 5 akaingia fox penitentiary kwa kosa la wizi wa mali za watu na kuuza.. Grand Larceny.. Risky 2X
  6. Tonny Miles Franklin

    Dar: Watumishi 3 wa TPA wafariki dunia baada ya gari lao kuacha njia na kutumbukia baharini

    Gati ni neno la kiswahili linalomaanisha sehemu iliyopo ndani ya endeo la mamlaka ya bandari ambapo meli inafunga/simama/paki na kuanza kushusha shehena. Kiingereza ni anchorage/berth.. NB: Na huwa kuna kuwa na kina kirefu sana cha maji.. Kilicho happen sina uhakika ila hiyo gati namba sifuri...
  7. Tonny Miles Franklin

    Character yupi wa Prison break alikuvutia?

    Nilipenda ile episode ambayo anapewa kazi ya kuwazuga walinzi wa ubalozi wa india ili wakina michael waingie ndani ya consulate kuona christina scofield ana enda kusuka mipango gani.. Baada ya kurudi kwenye appartment waliyopangiwa na na General kratz wanamkuta t-bag anajiosha vidonda...
  8. Tonny Miles Franklin

    Uume unasimama legelege na nikikutana na mwanamke dakika 2 umelala wakati mwingne wakati wa maandalizi unasimama kisha unalala

    Kama ndio mfano wa zile viagra... basi Hii inasaidia tendoni.. lakini si dawa ya kumaliza tatizo na inazidi kuua mishipa coz ina overdose work capacity na flow ya damu na oxygen ili mashine ifanye kaz ambayo kikawaida inashindwa kufanya.. Risky 2X
  9. Tonny Miles Franklin

    Tatizo la Mabaka, Mba na Fungus (Fangasi) sugu na kuwashwa sehemu za siri kwa wanaume na wanawake- Fahamu chanzo, Dalili na Matibabu yake

    Hili jina ni la kigeto geto.. mkuu umepatia kabisa. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Risky 2X
  10. Tonny Miles Franklin

    TEASER: Kama wewe ni mwenyeji Dar, hapa nipo juu ya orofa ya ghorofa gani

    Hapo ni RAMADA ENCORE HOTEL POSTA MPYA.. OPPOSITE NA EXIM TOWER Bisha nikupige na hela.. Risky 2X
  11. Tonny Miles Franklin

    Hizi smartphone za vivo, na oppo ubora wake upoje?

    Gonga like hapa kama unatumia Samsung S series.. Risky 2X
  12. Tonny Miles Franklin

    Kweli wanawake ambao hawana tamaa wapo, Nimeamini

    Sasa huyu ndo wale wa mjini.. Wabishi hawa... Risky 2X
  13. Tonny Miles Franklin

    Kweli wanawake ambao hawana tamaa wapo, Nimeamini

    Ndo maana chenji akaletewa misotojo[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Risky 2X
Back
Top Bottom