Kuna mtu anamchukia Mama yake mzazi?

Kuna mtu anamchukia Mama yake mzazi?

Wapo lakini mimi binafsi huwa nawaona kama ni watu fulani hivi wenye tatizo la Afya ya akili tu 🤒 😎 🚮
Kuwa uyaone, watu wengi tu wamebaniwa na mama zao wazazi kutobowa, au mama kupendelea watoto.

Unaona kabisa mama anazinguwa huo upendo unatoka wapi?

Kinachokuwepa ni heshima tu kwa mama not otherwise.
 
Kuwa uyaone, watu wengi tu wamebaniwa na mama zao wazazi kutobowa, au mama kupendelea watoto.

Unaona kabisa mama anazinguwa huo upendo unatoka wapi?

Kinachokuwepa ni heshima tu kwa mama not otherwise.
Unachoshindwa kuelewa ni kuwa Chuki na heshima havikai sehemu moja, huwezi mchukia mama yako mzazi halafu ukaendelea kumheshimu.

Labda unidokeze kidogo ni kivipi mama yako anaweza kuwa source ya wewe kutotoboa?? 🤒 😎
 
Wakati wengine wakiwafurahia Mama zao na kusema "Hakuna kama Mama", je kuna mtu ushawahi kusikia au kumuona akimchukia Mama yake mzazi?
Mkuu,

Kuna mama alikuwa anajidunga madawa ya kulevya na kunywa pombe kali wakati ana mimba ya mtoto wake.

Mtoto akazaliwa na matatizo ya akili kwa sababu hiyo.

Mtoto akimchukia mama hapo atakuwa na makosa?
 
Roho mbaya ndo iwe sababu /kigezo cha kumchukia mama yako mzazi/aliyekuleta duniani????

That's why nikasema ni watu fulani wanao onekana kuwa na tatizo la afya ya akili 🤒 😎.
Kumbuka ni kina mama hao hao wapo wanaotelekeza watoto kwenye madampo wafe, wapo wanaowatia vilema watoto wao kwa vipigo vikali, wapo wanaochukia watoto wao kuwakomoa baba zao, n.k.

Kama umelelewa na mama aliekupenda wewe shukuru tu, usianze kudhani ni wote wapo hivyo
 
Kuna wengine wanapitia hilo kutokana na changamoto walizopitia.

Ila wakina sisi tumepigwa na miko na masufuria lakin hututoi kwa mama zetu
 
Unachoshindwa kuelewa ni kuwa Chuki na heshima havikai sehemu moja, huwezi mchukia mama yako mzazi halafu ukaendelea kumheshimu.

Labda unidokeze kidogo ni kivipi mama yako anaweza kuwa source ya wewe kutotoboa?? 🤒 😎
Siyo wote wanaomheshimu madam President basi wanampenda.

Sijui nikupe mifano gani lakini elewa wapo kina mama wanawagawa hata watoto wenyewe na kufanya upendeleo wa wazi.

Sijui umekulia wapi lakini shukuru tu Mungu kama kwenye makuzi yako hujapitia changamoto za kifamilia.
 
Kumbuka ni kina mama hao hao wapo wanaotelekeza watoto kwenye madampo wafe, wapo wanaowatia vilema watoto wao kwa vipigo vikali, wapo wanaochukia watoto wao kuwakomoa baba zao, n.k.

Kama umelelewa na mama aliekupenda wewe shukuru tu, usianze kudhani ni wote wapo hivyo
We're born to be real not perfect.

Katika amri kumi za Mwenyezi Mungu, amri ya nne inasema, waheshimu baba na mama yako upate kuishi miaka mingi na yenye heri duniani.

Kama Mwenyezi Mungu anasamehe muuaji, mwizi jambazi, na mkosaji yeyote yule, wewe binadamu ni nani ushindwe kusamehe na kuyaacha yapite,, ukimchukia mama yako mzazi kwa mabaya aliyokufanyia, kuna faida yoyote labda utagain maishani mwako? 🤒 😎
 
Back
Top Bottom