Recent content by tonii20

  1. T

    JamiiForums Tanzania P-FUNK amuunga mkono Lady-Jay Dee mapambano dhidi ya wanyonyaji wa wasanii

    That's movement zinahitajika mtaa,wasanii msiwe wanyonge sana sababu nyie ndo mabosi sema hamjielewi..ts time waungane kuukataa udhalimu!! Mazishi yanakuja sio mida,kaeni mkao wa kula.... It will reach a time the oppressed will unite and grab what u steal from them,u oppressers!! The time is...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Mjue mtaalamu wa Hesabu!!

    Usifanye kitu kuonekana,wanaojua kila siku wanafanya kusaidia na hawataki shukrani...Dr.Grigoly amenifurahisha sana!! Usipende kujionesha,kunae watu washafanya mambo makubwa dunian na hawataki tuzo wala kuoneshwa kama wanyama kwene zoo
  3. T

    JamiiForums Tanzania Sir Alex Ferguson katangaza kustaafu kufundisha soka Man U

    Mandela ashamsemaga,"quitting is also leading"..so me nadhani mda umefika aachie watu waingoze timu aisee,akale bata nae keshasoka aisee!! Much Respect kwa Babu wa mafanikio...... muda hauongopi...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Ruzuku kwa mwezi: CCM milioni 800/-, Chadema 200/-, CUF 117/-

    Amen...in zis generation Tz lazima kitaeleweka tu,watu wanaelewa wanaibiwa and wanaiba kizamani sana so tutakomeshana 2015 aisee,hatutaki vyama bali viongozi wazalendo,awe wa chama au Cdm!! "There comes a time when silence is a betrayal"-Martin Luther king Jr
  5. T

    JamiiForums Tanzania Kubadili matokeo IV 2012: Prof. Mukandala aivimbia serikali!

    Aksante Prof.Mukandara,huo ndo msimamo wa kiongozi anaejiamini aisee..tusilete masihala kwene sekta ya Elimu,kama mnaona matokeo yanashusha hadhi ya nchi mngelifanyia kazi kabla!! Tujifunze kuprevent na sio kutibu akati uwezo tulikua nao aisee..... "Tusitaniane kwene elimu nyakati kama hizi"
  6. T

    JamiiForums Tanzania Kwanini serikali ya CCM inazidi kukopa fedha wakati tuna deni la trilion 22?

    Hawawatofautishii raia kati ya Economic development na economic growth...hizo 7% ni growth na si development jamaani so maisha mabovu bado yataendelea kuwa Bongo kama tunakopa tu na mwisho wa siku tutawekwa bond kabisa!! "How can we follow leaders when they are corrupt one??"....
  7. T

    JamiiForums Tanzania Muswada wa kuzuia Maandamano nchini waja...

    Katika serikali yenye demokrasia lazima kuwe na maandamano na ni kwa utaratibu uliowekwa kitambo,huo ni ubabe na udikteta...kumshinda mtu yeyote ile sio kumnyima nafasi kuongea au kufanya mambo yake jamani,wanaleta za miaka ya 80 leo??me nadhan hawajui nguvu ya Umma hawa jamaa mpaka watu...
Back
Top Bottom