Mjue mtaalamu wa Hesabu!!

Mjue mtaalamu wa Hesabu!!

Mwana Mwema

Senior Member
Joined
Nov 15, 2012
Posts
144
Reaction score
133
Akataa Zawadi ya Tsh. Bilioni 1.3

Genius wa hisabati, Dr Grigory PerelmanWednesday, March 24, 2010 1:01 AM
Mwanaume wa nchini Urusi ambaye anaishi maisha ya kifukara katika nyumba yake iliyojaa mende kibao, amekataa zawadi ya dola milioni moja aliyopewa baada ya kulipatia jibu fumbo la hesabu lililowashinda wataalamu wa mahesabu kwa miaka 100.
"Nimetosheka na kile nilicho nacho", alisema Dr Grigory Perelman, 44, mwanaume anayesemekana kuwa yeye ndiye Genius wa hisabati kwani yeye ndiye mtu pekee aliyefanikiwa kulifumbua fumbo la hisabati linaloitwa "Poincare Conjecture" ambalo wanahisabati wote duniani kwa kushirikiana walishindwa kulifumbua fumbo hilo lenye miaka 100.

Dr Grigory Perelman anaishi mjini Petersburg katika nyumba yake ambayo imejaa mende wengi sana kiasi cha majirani zake kutoa malalamiko kuwa mende hawaishi kuingia kwenye nyumba zao toka kwenye nyumba ya mtaalamu huyo wa hisabati.

Dr. Perelman nyumbani kwake ana meza moja, stuli moja na kitanda chenye godoro chafu lililochakaa lililoachwa na wamiliki wa nyumba hiyo ambao walikuwa walevi kupindukia ambao ndio waliomuuzia Dr.Perelman nyumba hiyo.

Pamoja na maisha anayoishi, Dr. Perelman ameikataa zawadi ya dola milioni moja aliyopewa na taasisi ya hisabati ya Marekani akisema kuwa hana shida ya pesa ametosheka na alichonacho.

Miaka minne iliyopita, Dr. Perelman alikataa kwenda kuichukua tuzo maalumu aliyotunukiwa na umoja wa kimataifa wa wanahisabati kwa kulipatia jibu swali hilo gumu la hisabati.

Wakati huo Dr. Perelman alisema "Sina shida ya pesa wala umaarufu, sitaki nionyeshwe kwa watu kama vile wanyama kwenye bustani za wanyama".

"Mimi sio shujaa wa hisabati, sijafanikiwa kwa kiasi hicho ninachoongelewa, na hivyo sitaki watu wote wawe wananiangalia mimi", alisema Dr. Perelman.

Ilikuwa ni mwaka 2002 wakati Dr. Perelman alipokuwa akifanya kazi kwenye taasisi ya utafiti wa hisabati nchini Urusi wakati alipoanza kutuma majibu kwenye internet ya fumbo la Poincare Conjecture ambalo ni miongoni mwa mafumbo saba magumu ambayo kila fumbo moja limetengewa zawadi ya dola milioni moja kwa mtu atakayelipatia jibu.

Kupatikana kwa jibu la fumbo la Poincare Conjecture kutawawezesha wanasayansi kuweza kujua umbile la ulimwengu.

Mwaka 2003 Dr. Perelman aliacha kazi kwenye taasisi hiyo ya utafiti wa hisabati na inadaiwa na marafiki zake kuwa ameachana kabisa na masuala ya hisabati.
 
Money in the wrong hands!!

Hayo mafumbo mbona easy tu,
Tuma hapa uone kama watu hatujatajirika.
 
Mwana Mwema naomba nikuulize kidogo. Unaweza kufahamu watu walio fumba hayo mafumbo kwa majina au nchi watokazo? Na unaweza kulipest hilo/hayo mafumbo hapa jamvini? Tuanzie hapo kwa sasa.
 
Last edited by a moderator:
Sijawahi shindwa fumbo lolote lile, wangelileta kwangu..
 
Akataa Zawadi ya Tsh. Bilioni 1.3

Genius wa hisabati, Dr Grigory PerelmanWednesday, March 24, 2010 1:01 AM
Mwanaume wa nchini Urusi ambaye anaishi maisha ya kifukara katika nyumba yake iliyojaa mende kibao, amekataa zawadi ya dola milioni moja aliyopewa baada ya kulipatia jibu fumbo la hesabu lililowashinda wataalamu wa mahesabu kwa miaka 100.
"Nimetosheka na kile nilicho nacho", alisema Dr Grigory Perelman, 44, mwanaume anayesemekana kuwa yeye ndiye Genius wa hisabati kwani yeye ndiye mtu pekee aliyefanikiwa kulifumbua fumbo la hisabati linaloitwa "Poincare Conjecture" ambalo wanahisabati wote duniani kwa kushirikiana walishindwa kulifumbua fumbo hilo lenye miaka 100.

Dr Grigory Perelman anaishi mjini Petersburg katika nyumba yake ambayo imejaa mende wengi sana kiasi cha majirani zake kutoa malalamiko kuwa mende hawaishi kuingia kwenye nyumba zao toka kwenye nyumba ya mtaalamu huyo wa hisabati.

Dr. Perelman nyumbani kwake ana meza moja, stuli moja na kitanda chenye godoro chafu lililochakaa lililoachwa na wamiliki wa nyumba hiyo ambao walikuwa walevi kupindukia ambao ndio waliomuuzia Dr.Perelman nyumba hiyo.

Pamoja na maisha anayoishi, Dr. Perelman ameikataa zawadi ya dola milioni moja aliyopewa na taasisi ya hisabati ya Marekani akisema kuwa hana shida ya pesa ametosheka na alichonacho.

Miaka minne iliyopita, Dr. Perelman alikataa kwenda kuichukua tuzo maalumu aliyotunukiwa na umoja wa kimataifa wa wanahisabati kwa kulipatia jibu swali hilo gumu la hisabati.

Wakati huo Dr. Perelman alisema "Sina shida ya pesa wala umaarufu, sitaki nionyeshwe kwa watu kama vile wanyama kwenye bustani za wanyama".

"Mimi sio shujaa wa hisabati, sijafanikiwa kwa kiasi hicho ninachoongelewa, na hivyo sitaki watu wote wawe wananiangalia mimi", alisema Dr. Perelman.

Ilikuwa ni mwaka 2002 wakati Dr. Perelman alipokuwa akifanya kazi kwenye taasisi ya utafiti wa hisabati nchini Urusi wakati alipoanza kutuma majibu kwenye internet ya fumbo la Poincare Conjecture ambalo ni miongoni mwa mafumbo saba magumu ambayo kila fumbo moja limetengewa zawadi ya dola milioni moja kwa mtu atakayelipatia jibu.

Kupatikana kwa jibu la fumbo la Poincare Conjecture kutawawezesha wanasayansi kuweza kujua umbile la ulimwengu.

Mwaka 2003 Dr. Perelman aliacha kazi kwenye taasisi hiyo ya utafiti wa hisabati na inadaiwa na marafiki zake kuwa ameachana kabisa na masuala ya hisabati.

Hapo kwenye red pananitatiza.
Kama hiyo itasaidia, je, waliofumba c walikuwa wanajua jibu lake? Kwa nn wao wasiwasaidie hao wanasayanc ili wajue hlo umbo la ulimwengu! Ama waliofumba wale tunaowasoma kwenye misahafu?
Kama ndio waliofumba, walioprove jibu ni kina nani?
MASWALI NI MENGI KULIKO MAJIBU.
 
Usifanye kitu kuonekana,wanaojua kila siku wanafanya kusaidia na hawataki shukrani...Dr.Grigoly amenifurahisha sana!!

Usipende kujionesha,kunae watu washafanya mambo makubwa dunian na hawataki tuzo wala kuoneshwa kama wanyama kwene zoo
 
Hahaha JamiiForamites bwana. Yani ni wabishi na wana siasa kwenye kila kitu!

Eti mbona hapa hawajalileta hilo fumbo? Hahaha hata likiletwa mtabisha kuwa halieleweki hivyo halifumbuki. Kwanza mletewe kama nani? Hahaha Great Thinkers? Hahaha.

Na wengine mnaosema eti hao walio lifumba si watakua wanajua jibu? Hahaha. Kwani mafumbo yote lazma yawe na mfumbaji. Dah sijui mtu unaanzia wapi kuwa elekeza, embu waje kina Kiranga, Nyani Ngabu na Candid Scope.
Wenzenu wanajaribu kufumbua vilivyofumbwa na Mungu, tatizo wengi wao Mathematicians hawaamini hata kama huyo Mungu yupo.
Nafikiri slogan ya Great Thinkers imetu affect na kutupa delusions of Grandeur!

Hahaha JF Burudani!!

Ila this Russian guy is a true genius in maths.
 
Akataa Zawadi ya Tsh. Bilioni 1.3

Genius wa hisabati, Dr Grigory PerelmanWednesday, March 24, 2010 1:01 AM
Mwanaume wa nchini Urusi ambaye anaishi maisha ya kifukara katika nyumba yake iliyojaa mende kibao, amekataa zawadi ya dola milioni moja aliyopewa baada ya kulipatia jibu fumbo la hesabu lililowashinda wataalamu wa mahesabu kwa miaka 100.
"Nimetosheka na kile nilicho nacho", alisema Dr Grigory Perelman, 44, mwanaume anayesemekana kuwa yeye ndiye Genius wa hisabati kwani yeye ndiye mtu pekee aliyefanikiwa kulifumbua fumbo la hisabati linaloitwa "Poincare Conjecture" ambalo wanahisabati wote duniani kwa kushirikiana walishindwa kulifumbua fumbo hilo lenye miaka 100.

Dr Grigory Perelman anaishi mjini Petersburg katika nyumba yake ambayo imejaa mende wengi sana kiasi cha majirani zake kutoa malalamiko kuwa mende hawaishi kuingia kwenye nyumba zao toka kwenye nyumba ya mtaalamu huyo wa hisabati.

Dr. Perelman nyumbani kwake ana meza moja, stuli moja na kitanda chenye godoro chafu lililochakaa lililoachwa na wamiliki wa nyumba hiyo ambao walikuwa walevi kupindukia ambao ndio waliomuuzia Dr.Perelman nyumba hiyo.

Pamoja na maisha anayoishi, Dr. Perelman ameikataa zawadi ya dola milioni moja aliyopewa na taasisi ya hisabati ya Marekani akisema kuwa hana shida ya pesa ametosheka na alichonacho.

Miaka minne iliyopita, Dr. Perelman alikataa kwenda kuichukua tuzo maalumu aliyotunukiwa na umoja wa kimataifa wa wanahisabati kwa kulipatia jibu swali hilo gumu la hisabati.

Wakati huo Dr. Perelman alisema "Sina shida ya pesa wala umaarufu, sitaki nionyeshwe kwa watu kama vile wanyama kwenye bustani za wanyama".

"Mimi sio shujaa wa hisabati, sijafanikiwa kwa kiasi hicho ninachoongelewa, na hivyo sitaki watu wote wawe wananiangalia mimi", alisema Dr. Perelman.

Ilikuwa ni mwaka 2002 wakati Dr. Perelman alipokuwa akifanya kazi kwenye taasisi ya utafiti wa hisabati nchini Urusi wakati alipoanza kutuma majibu kwenye internet ya fumbo la Poincare Conjecture ambalo ni miongoni mwa mafumbo saba magumu ambayo kila fumbo moja limetengewa zawadi ya dola milioni moja kwa mtu atakayelipatia jibu.

Kupatikana kwa jibu la fumbo la Poincare Conjecture kutawawezesha wanasayansi kuweza kujua umbile la ulimwengu.

Mwaka 2003 Dr. Perelman aliacha kazi kwenye taasisi hiyo ya utafiti wa hisabati na inadaiwa na marafiki zake kuwa ameachana kabisa na masuala ya hisabati.
dunia ipi unazungumzia?mbona mi sijaliona hilo fumbo??labda ningelifumbua
 
grish-perelman-math-genius.jpeg

Jamaa huyo hapo na kwa wale wenzangu wanaolitaka hilo fumbo ili labda waweze kulifumbua from another approach fumbo lenyewe hili hapa:
[h=3]Poincaré's question[/h] At the beginning of the 20th century, Henri Poincaré was working on the foundations of topology—what would later be called combinatorial topology and then algebraic topology. He was particularly interested in what topological properties characterized a sphere.
Poincaré claimed in 1900 that homology, a tool he had devised based on prior work by Enrico Betti, was sufficient to tell if a 3-manifold was a 3-sphere. However, in a 1904 paper he described a counterexample to this claim, a space now called the Poincaré homology sphere. The Poincaré sphere was the first example of a homology sphere, a manifold that had the same homology as a sphere, of which many others have since been constructed. To establish that the Poincaré sphere was different from the 3-sphere, Poincaré introduced a new topological invariant, the fundamental group, and showed that the Poincaré sphere had a fundamental group of order 120, while the 3-sphere had a trivial fundamental group. In this way he was able to conclude that these two spaces were, indeed, different.
In the same paper, Poincaré wondered whether a 3-manifold with the homology of a 3-sphere and also trivial fundamental group had to be a 3-sphere. Poincaré's new condition—i.e., "trivial fundamental group"—can be restated as "every loop can be shrunk to a point."
The original phrasing was as follows:

Consider a compact 3-dimensional manifold V without boundary. Is it possible that the fundamental group of V could be trivial, even though V is not homeomorphic to the 3-dimensional sphere?
​
Kwa wale ambao mnalalmika hamjaletewa haya maswali do not dispair kuna haya hapa chini bado: Yanaitwa
[h=1]Millennium Prize Problems[/h] [h=2]Contents[/h]

Atakaeshinda asinisahau hata ka 5% tu ka prize money.
 
Hahaha!! Asante kaka kwa kiliweka hadharani.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
grish-perelman-math-genius.jpeg

Jamaa huyo hapo na kwa wale wenzangu wanaolitaka hilo fumbo ili labda waweze kulifumbua from another approach fumbo lenyewe hili hapa:
Poincaré's question

At the beginning of the 20th century, Henri Poincaré was working on the foundations of topology—what would later be called combinatorial topology and then algebraic topology. He was particularly interested in what topological properties characterized a sphere.
Poincaré claimed in 1900 that homology, a tool he had devised based on prior work by Enrico Betti, was sufficient to tell if a 3-manifold was a 3-sphere. However, in a 1904 paper he described a counterexample to this claim, a space now called the Poincaré homology sphere. The Poincaré sphere was the first example of a homology sphere, a manifold that had the same homology as a sphere, of which many others have since been constructed. To establish that the Poincaré sphere was different from the 3-sphere, Poincaré introduced a new topological invariant, the fundamental group, and showed that the Poincaré sphere had a fundamental group of order 120, while the 3-sphere had a trivial fundamental group. In this way he was able to conclude that these two spaces were, indeed, different.
In the same paper, Poincaré wondered whether a 3-manifold with the homology of a 3-sphere and also trivial fundamental group had to be a 3-sphere. Poincaré's new condition—i.e., "trivial fundamental group"—can be restated as "every loop can be shrunk to a point."
The original phrasing was as follows:

Consider a compact 3-dimensional manifold V without boundary. Is it possible that the fundamental group of V could be trivial, even though V is not homeomorphic to the 3-dimensional sphere?
​
Kwa wale ambao mnalalmika hamjaletewa haya maswali do not dispair kuna haya hapa chini bado: Yanaitwa
Millennium Prize Problems

Contents

Atakaeshinda asinisahau hata ka 5% tu ka prize money.
Ma-'dr' wa Tz na wengine wote watakua wamekusikia, wasije kusema ooh wazungu wabaguzi na wanajipendelea/
 
grish-perelman-math-genius.jpeg

Jamaa huyo hapo na kwa wale wenzangu wanaolitaka hilo fumbo ili labda waweze kulifumbua from another approach fumbo lenyewe hili hapa:
Poincaré's question

At the beginning of the 20th century, Henri Poincaré was working on the foundations of topology-what would later be called combinatorial topology and then algebraic topology. He was particularly interested in what topological properties characterized a sphere.
Poincaré claimed in 1900 that homology, a tool he had devised based on prior work by Enrico Betti, was sufficient to tell if a 3-manifold was a 3-sphere. However, in a 1904 paper he described a counterexample to this claim, a space now called the Poincaré homology sphere. The Poincaré sphere was the first example of a homology sphere, a manifold that had the same homology as a sphere, of which many others have since been constructed. To establish that the Poincaré sphere was different from the 3-sphere, Poincaré introduced a new topological invariant, the fundamental group, and showed that the Poincaré sphere had a fundamental group of order 120, while the 3-sphere had a trivial fundamental group. In this way he was able to conclude that these two spaces were, indeed, different.
In the same paper, Poincaré wondered whether a 3-manifold with the homology of a 3-sphere and also trivial fundamental group had to be a 3-sphere. Poincaré's new condition-i.e., "trivial fundamental group"-can be restated as "every loop can be shrunk to a point."
The original phrasing was as follows:

Consider a compact 3-dimensional manifold V without boundary. Is it possible that the fundamental group of V could be trivial, even though V is not homeomorphic to the 3-dimensional sphere?
​
Kwa wale ambao mnalalmika hamjaletewa haya maswali do not dispair kuna haya hapa chini bado: Yanaitwa
Millennium Prize Problems

Contents

Atakaeshinda asinisahau hata ka 5% tu ka prize money.
Mtoto akililia wembe mpe. Naona wale waliokuwa wanadai fumbo liko wapi wamekaa kimya na wanadhani hili siyo fumbo la hisabati..!
 
Ingekuwa mmbongo ashalewa sifa na kusahau wajibu wake na kuitumia hiyo hela kwa starehe kibao
 
Back
Top Bottom