Recent content by tongelao

  1. tongelao

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Series: From SPECIAL THREAD

    Au sio,wahusika wameitoa tareh 19 ila wew umeiona ijumaa basi sawa
  2. tongelao

    JamiiForums Tanzania Naskia Songwe wadau wanapoteza sehemu za Siri kwa kuguswa bega. Wadau wa Songwe Kuna ukweli gani?

    Leo imetokea maeneno ya kariakoo mtaa wa omar londo na nyamwezi,kuna dalali katapeliwa nyeti zake na ugomvi ukazuka pale hadi police wa msimbazi wakafika na difenda kuja kuwabeba
  3. tongelao

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu kaacha ndoa yake kisa kazi

    Wewe huna akili,badala ya kumuunga mkono wife anayetafuta kazi ili asikae kizembe nyumbani ww unaona hafai, Je angekuwa anachepuka ww si ungepiga na kuua maisha yenyew inaonekana huna lakin hutaki wife afanye kazi kuongeza kipato.jinga sana wewe
  4. tongelao

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Nilicho na uhakika nacho by 100%, ni kuwa wengi wanajua kuna nini 9.12

    Kitu ambacho sikutemea nikwamba hata vijiji nlivyotembelea watu wanasema 9D itakuwa balaa zito yaan nizaid ya 29N hapo ndipo nikajua watanganyik wamechoka
  5. tongelao

    JamiiForums Tanzania Siwauzii woga, ila ni tahadhali

    9D hatuendi kama 29N,siku hiyo itakuwa jino kwa jino,mwaga mboga na nimwage ugali na maji ya kunawa
  6. tongelao

    JamiiForums Tanzania D9 nisipokufa kwa risasi nitakufa kwa njaa

    Judgment day in D9
  7. tongelao

    JamiiForums Tanzania Larry Madowo ni Mkenya anayeitumia CNN Kuichafua Tanzania Kimataifa ili Kuinufaisha Kenya. Serikali ifanye uchunguzi na kumpa Onyo Kali

    Hii sijui nyuzi yangapi unafungua leo,wasipokuona kwenye udc ntaamini yale maneno yakwamba umechanganyikiwa
  8. tongelao

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kama ile 'Curfew' ya Siku 3 hadi 4 tulikoma Kimaisha mitaani, je, tunapojiandaa kwa Maandamano ikiwekwa nyingine Kubwa tutajiweza Kimaisha?

    Ccm wanapenda watu wenye akili matope kama yako,muda wote unawaza kula badala ya kutafakari namna ya kutengeneza mazingira ili kizazi chako kisiishi maisha kama yako . 9D tunaenda kudai haki kama siyo yako basi hata kizazi chako basi kifaidi matunda ya nchi hii nasio akina Abdul pekeyao
  9. tongelao

    JamiiForums Tanzania Wamefeli tena. Gen Z wawakataa masheikhe ubwabwa

    Heee kama hadi ww unatangaza vita na wala nchi basi Abdul na mama yake wajiandae kurudi kijijini
  10. tongelao

    JamiiForums Tanzania Enzi za Mwenyekiti Aikael uchaguzi ungepita kimya kimya

    Kwasasa kamanda wa udalali angekuwa anafatilia malipo yake ya awamu ya mwisho
  11. tongelao

    JamiiForums Tanzania Mnaopanga kuandamana tena

    Picha kamili ni D9 ile ya MO29 ilikuwa kupasha misuli,hii ya D9 kinaenda kuumana mazima Na ukizingatia watu wanapeana vyeo kifamilia basi hasira za kutoka zimeongezeka
  12. tongelao

    JamiiForums Tanzania Maandamano ya Mabango kumtoa Rais Afrika ni kupoteza muda

    Naimani watu walijifunza kitu tarehe 29,wao walienda kuandamana wenzao wakaja na risasi za kuwaua...imani yangu inaniambia huwezi fanya kosa mara mbili ushaona mwenzako alikuja kwania ya kukuua afu unapewa chance yapili ya kujiuliza eti unaenda tena ukiwa mikono mitupu hiyo najua...
  13. tongelao

    JamiiForums Tanzania TEC wafutiwe usajili

    Mwambie ajaribu hata dakika moja,aone kama hajaenda zanzibar kwa miguu
Back
Top Bottom