Wamefeli tena. Gen Z wawakataa masheikhe ubwabwa

October 2pm

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2023
Posts
1,148
Reaction score
2,032
Hehee! Mwafikiri gen z wapuuzi kanyie. Mwaona? Hee Mayii. Sijui walahi. Kila tawi mwarukia lateleza. Kila kete mwagusa yamoto. Hamuamini sio. Subirini 9D mtaelewa.

Twataka mfanye ushetwani wenyu nye na hao masheikh ubwabwa na maaskofu wanafiki. Siye twajua wamwaga damu wa ndugu zetu. Walahi Allah atatulipia. Walahi Allah atatupa ushindi siku hiyo dhidi yenyu madhalimu wakubwa.

Vijana tutatoka wote kwa idhini na uwezo wa Allah. Na bado.
 
Siamini kama ni wewe au wamehack account yako 😆
Mwamba walimuulia baba yake aisee.

Pia maeneo ya ubungo kuna mama ni ccm kindaki ndaki, na siku hiyo ya october 29 alitick, baadae wakaja nao kumuulia mtoto wake ile piga piga risasi ovyo, anabaki analia kuwa Samia ameua mtoto wake wakati kampigia na kura…hataki kusikia CCM na Samia.

Mi nilisema huku kuua ua hovyo, watagusa hadi watu wa karibu yao, na kwa idadi hii ya watu waliokufa, naamini si wanajeshi, si police, si UVCCM, kuna waliopoteza ndugu zao.
 
Lazima maana si kwa "random shoot to kill' ile
 
Mwamba walimuulia baba yake aisee.

Pia maeneo ya ubungo kuna mama ni ccm kindaki ndaki, na siku hiyo ya october 29 alitick, baadae wakaja nao kumuulia mtoto wake ile piga piga risasi ovyo, anabaki analia kuwa Samia ameua mtoto wake wakati kampigia na kura…hataki kusikia CCM na Samia.

Mi nilisema huku kuua ua hovyo, watagusa hadi watu wa karibu yao, na kwa idadi hii ya watu waliokufa, naamini si wanajeshi, si police, si UVCCM, kuna waliopoteza ndugu zao.
Hatari sana
 
mkuu hii imegusa jamii yote shekhe majini nae alitoka kutiki pia kuna jamaa yangu wa karibu wakitengo mdogo wake maiti hawajaipata mpaka leo,kuna mwingine ni capteni alimfuata mdogo wake arusha akamchomoa hospitari akiwa na majeraa ya risasi yupo nae home kwake ni hatari
 
Mwamba walimuulia baba yake aisee.

Pia maeneo ya ubungo kuna mama ni ccm kindaki ndaki, na siku hiyo ya october 29 alitick, baadae wakaja nao kumuulia mtoto wake ile piga piga risasi ovyo, anabaki analia kuwa Samia ameua mtoto wake wakati kampigia na kura…hataki kusikia CCM na Samia.

Mi nilisema huku kuua ua hovyo, watagusa hadi watu wa karibu yao, na kwa idadi hii ya watu waliokufa, naamini si wanajeshi, si police, si UVCCM, kuna waliopoteza ndugu zao.
Pia saga imeendelea kwenye uteuzi. Wengi wamekuwa frustrated baada ya mkeka. Eg, Team Naibu Waziri Mkuu so disappointed balaa
 
Back
Top Bottom