Hbr za asbh, nianze kwa kusema hakuna kauli anayoitoa mwanadamu bila sababu haijalishi sababu husika ni njema au mbayaa.
Toka jana pamekuwa na lawama nyiingi saana dhidi ya mh Msigwa kwa kumsifiaa rais Magufuli kuhusu maendeleo ya Iringa, kiukwel kulingana na madai mengi ya upinzani dhidi ya...
Habr za asbh ,
Imekua n vigumu San,kwa baadhi ya wazaz kufny kosa watoto wao nakuwez kulikiri,na huend hii iko kwa kila mzaz.
Kama ilivvyovigumu kwa mzaz kukiri kosa kwa mwanae hivyo hvyo c rahsi kwa mtawala kukiri kosa mbel ya wananch wake waliompa dhaman.
Nibora tukajua kua c kama...
Na ww unauhakika gn unavyowatetea wakti mambo yao ni yasiri na hatakama wakitenda unadhan watakyja kukiri au unadhan tiss wao hawana upandee na waosio binadam na kama hawahusiki mbn matykio mengi sn ya ajabu yanayohusishwa na siasa mengi hatupati muafaka wao VIP suala LA ulmbok?VP suala LA been...
habr za asubuhi wapendwa
Ni jambo lililo wazi kuwa bajeti ya nchi yoyote ile duniani hupangwa na serikali lakini wakuiridhia kuipitisha huwa ni wabunge ambao hao wote ni wawakilishi wananchi wao ambao mabosi wao.
pamoja na hayo yote,utaratibu uliopo ni lazima kamati zikae za kila wizara...
alituambia ajra zinaanA septemba mwishow n
kairuki akabadili upepo leo kaja na 4000 yakitoka utashangaaa maajab juz kairuki kasema kupitia the gardian kuwa wataajiri wote leo pm anasema sanaa msubri ip ni serkali iaminiwe?
of coz siku zimeenda ila tutakutw Tunashangaa tu muda umeisha san kristo ankuja ujasikia papa fransisi juzi alikuw N mkuu wa lutheran unabii ule unatimia kumbuka lutheran iliasi roma ila watakuja kurudi kwa mama yao ili 666 itimie vizuri tafta mtandao kitu kinaitwa obama martial law
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.