bunge la bajeti;Je bajeti ya 2017/ 018 kwa masilahi ya nani au unafiki?

tongblock

Member
Jul 6, 2016
76
81
habr za asubuhi wapendwa

Ni jambo lililo wazi kuwa bajeti ya nchi yoyote ile duniani hupangwa na serikali lakini wakuiridhia kuipitisha huwa ni wabunge ambao hao wote ni wawakilishi wananchi wao ambao mabosi wao.

pamoja na hayo yote,utaratibu uliopo ni lazima kamati zikae za kila wizara kujadili utekelezaji wa bajeti iliopita ili kuona ni vipi bajeti mpya iwe na iweze kupita au la?

mara kadhaa nmewahi kuona baadhi ya wabunge wakitishia kutoa shilingi ,lakin pia ni haki ya wabunge kugomea kupitisha bajeti ya serkali iwapo haikidhi mahitaji ya wawakilishi wao huku,mawaziri wenye dhamana kutoa maelezo juu ya mashaka ya wabunge.

lakini yote tisa ,kumi kuna mswali najiuliza bajeti mpya inayotarajiwa kujadiliwa bunge lijalo la mwez april

ivi baadhi ya wizara bajeti zao zitapita kwa masilahi ya nani

1) wizara ya mama yetu ,Angelah kairuki itapita kwa masilahi ya nani?

maana bajeti inayishia wasita wizara yake iliahidi kutoa ajira 71 146 huku walimu wakiwa 40000 na fani zingine ikiwepo afya ,kilimo na kwingineko wakiwa 31 146.lkn cha ajabu mpaka sasa ajira ninazoziona ni zakuteuliwa tu kulingana na ukada uliopo kama ukuu wa wilaya na ukurugenz pamoja na das .

hayo yote yakitokea vijana wako mtaani toka elf mbli na 15 mpaka sasa tunachoona n matamko tuu no action swali linakuja hiyo bajeti mpya inakuja ya nn iwapo ya kwanza haikutekelezka

mpka sasa watumishi wanalia increments zao na madaraja yao ambyo yapo kisheria mwaka sasa hakuna kitu wanasikia tu serkali ikijinadi kuwa na hela huku wao wakilia na maisha magum uhakiki ukitumiwa kama vazi la mwanakondoo kumbe shida pesa.

kinachoshangaza waziri yupo kimya anchkazania ni vyti hewa na vitisho vya matamko .

maajabu ya srkali hii?iko tayr kutnga sheria kuchukua chake mapema kwa mtu anaemdai leoo hii bodi ya mikopo na serkali yake imeongeza aslimia za makato ya mkopo kwa wafanyakz ambayo hayakuwa katik mkataba wao kisheria lkn wao madaraja hawapamdishi wala increments za watishi hawapewi ila wao wako tayari kuvunja sheria wapate chao.

swali lakujiuliza bajti ya mama huyu mpya itapita kwa masilahi ya nani je ya chama au maslahi ya wabunge wenyew mana kuhusu wananchi haipo ?

najiuliza wizara ya utumishi ipo kwa maslahi ya nani?

swali lingine siku ya may mosi je serikali itawambia nn watumishi wake?
na je ivi watumishi iv yuko mtumishi na usomi wake bdo anamini ankosa stahiki zake kisa watumishi hewa au serkali inanyooshwa mana ilipinda mahali?

iv niwabunge wa upinzani tu ndio wanaodanganya bunge na kuadhibiwa ? kwa nn mawaziri wao wasiadhibiwe kwa kudanganya bunge na wananchi wao?

nmejaribu tu kugusia wizara moja hasa ya utumishi kama mfano kuwakilisha zingine kama tisemi na elimu nikijaribu kufafanua maana taifa lolote lile haliwwzi kufikia malengo yake likiwa halijali maslahi yawatumishi wake hatuwez kutokomeza rushwa bila kujali masilahi halali ya wapokea rushwa.
huwezi kupata viwanda bil kujal watumishi wake.


lakin kinachosikitisha et bajeti bado itapita tena kwa kishindo ila swali hili litapiga kelele ndan yaةmasikio yenu mnapitisha bajati mpya kwa maslahi ya nani?swali hilo litawagusa mpak kweny majimbo yenu?

1)swala lamwisho wabunge ,mnyime mtu vitu vyote atakuvumilia ila usije ukamnyima chakula?
2)piga hesabu zako zote za kiuchumi ila juen kuwa microeconomics and macroeconomics ya raia ni tumbo laooooo na wala c ujanja ujanja unaoewz kufanya kufunika kombe mwanaharamu apite?

usalama wenu majimbon kwen ni pamoja na kushiba kwa raia wenu.

kudumu kwa ccm madarakn c kwa kuwa kimetawala chenyew toka uhuru hadi sasa bali kudumu kwake kutabebwa na uwwzovwackuchwza na muda na wakati kulingan na upepo wa mabadiliko uliopo na sikuendekeza mazoea.


(wenu katika taifa tajiri kwa maneno ,maskini kwa vitendo)
 
Unachotakiwa ni kuielewa serikali ya awamu hii ni aina gani. Hii ni serikali isiyojua ifanye kipi, iache kipi na kwa wakati gani, kwa maslahi ya nani, yaani ni bora liende. Na haijali chochote.

Unakumbuka juzi hapa walimu walitangaza mgogoro na serikali kutokana na madai yao kupuuzwa, walichojibiwa na Magu akiwa Lindi nadhani ulikisikia.

Huyu jamaa ni mbabe na hasikilizi la mtu yeyote zaidi ya akili yake inavyomtuma.

Ukifuatilia sana yanayofanywa na serikali hii utakuwa mtu wa hasira kila siku, maana yanakera, yanachukiza na kukatisha tamaa sana.
 
Huyo mama asijaribu kabisa kutumia agenda ya uhakik wa vyeti na watumish hewa wakat bashite anadunda na tuhuma zake...
Huyu bwana ametumwa na shetan kuja kuua hiki chama...
Hapa kwny nahesabu siku ziende wakakte umeme zenji...
Yaan awamu hii ni bampa2bampa
 
Back
Top Bottom