Recent content by ton11

  1. T

    JamiiForums Tanzania Uzi wa kutafutana waliopoteana kwa muda mrefu

    Unaweza kuwa na contact zake? Ni pm please
  2. T

    JamiiForums Tanzania Niulize chochote kuhusu Subwoofer na Sounds system

    Chukua jbl partybox hutojuta
  3. T

    JamiiForums Tanzania Hivi ni mimi tu nayehisi Daraja la Kurasini linachezacheza magari yakisimama?

    Wadau ni mara kadhaa napita hapo daraja jipya la Kurasini ambalo chini inapita treni. Sasa mara kwa mara wakati wa foleni tunaposimama nikiwa ndani gari juu ya daraja hilo nahisi kama linacheza cheza mithiri ya kama limezidiwa uzito wa magari yaani mkisimama hapo na gari halafu upande mwingine...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Gari yangu inakimbia sana!

    Namshauri mtoa mada anunue spika zile za kutangazia sumu ya panya afunge juu kiasha arekodi tangazo la kuwajulisha watumia barabara wenzake kuwa niko kwenye mashindano kwa kurudia rudia ili wenzake wajue na atakae taka amjoin ndipo tutakapojua kama kweli passo inakimbia! Yani hiyo gari ambayo...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Uzi wa kutafutana waliopoteana kwa muda mrefu

    Huyu alishaolewa na ana watoto anaishi mivumoni dsm
  6. T

    JamiiForums Tanzania Msaada vpn for ipad IOS 9 version

    Hayo ni mawazo yako siwezi kukuzuia unachowaza.l
  7. T

    JamiiForums Tanzania Msaada vpn for ipad IOS 9 version

    Naomba msaada ni vpn ipi ambayo ni compatible na IOS 9.3.6? maana kila.vpn nayojaribu kudownload inaniambia version yangu ya ipad haiko-compartible na niki-upgrade inasema iko up to date. Nifanyeje wataalam?
  8. T

    JamiiForums Tanzania Msaada free vpn

    Wakuu vpn gani naweza kuipata kwenye ipad nayoweza kuitumia free?
  9. T

    JamiiForums Tanzania Whatsapp New Feature

    Hii option nayo ipo kwenye new whatsap feature?
  10. T

    JamiiForums Tanzania Msaada Software for data recovery

    Thanks naipataje au download? na je ni free of charge?
  11. T

    JamiiForums Tanzania Msaada Software for data recovery

    Thanks naipataje au download? na je ni free of charge?
  12. T

    JamiiForums Tanzania Msaada Software for data recovery

    Wakuu kama kichwa cha habari kinavyojieleza kuna yeyote anaweza kunisaidia kupata software yoyote ya kurecover deleted data kutoka kwenye computer?
  13. T

    JamiiForums Tanzania Acha kabisa hii tabia kwenye simu yako

    Na pia usipende sana kutumia chaja za kwenye magari au mabasi haya ya kisasa hizo chaja zinaua sana battery kuna watu wanapenda sana wakipanda tu mabasi na kuanza kuchomeka simu zao mi hua nawaangaliaa wanajiona wajaanja nawaacha kama walivyo ni bora utumie chaja hizo kwa simu za vitochi kuliko...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Screen size za simu

    Kwa simu nyingi za android kuna feature ya one handed mode ambayo hata kama screen yako kubwa unaitumia hii na kuifanya screen kuwa ndogo ndani ya screen yako kubwa
Back
Top Bottom