Recent content by tommy d

  1. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania mume wa mtu

    tanx all kwa ya suggestion i will du
  2. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania mume wa mtu

    ningoje hadi lin?
  3. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania mume wa mtu

    kuna kaka mmoja ni rafiki yangu na ana mpenzi wake lakin kwa muda kidogo wamekua kama hawaelewani na wanaishi nyumba moja hawajaoana asa kaka ananitaka mim niwe mpenzi wake akimaanisha kashoshwa na kutoelewana na mpenzi wake nimejitahidi mwelewesha kwamba sitaweza kua nae kwasababu nami...
  4. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nihaki kuzaa na mume wa mtu tena watoto wawili au watatu?

    no need for u kuzaa nae tena kama ashakuwa wa mtu we tafuta utaratibu mwingine tu
  5. T

    JamiiForums Tanzania Ajira za Walimu kutangazwa Januari 2013

    mmmh mbombo ngafu
  6. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Iv msichana kutoka na rafiki wa x-boyfriend wake ni utash!

    yap kawaida bana alipokua shem wako ulimwita shem sahiz umeachana nae acha watoke mana lv haigurantee umpende nani huwezi jua bahati yako iko wap huwenda kwa huyo rafiki yake ndo destine yako
  7. T

    JamiiForums Tanzania Haya: Mpende MKEO

    duuu raha utamu,kupendwa raha bwana weeee
  8. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wa mtu kanipa maumivu ya moyo

    unampenda kweli au wapenda zile pay ulizokua unapata
  9. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mbinu rahisi za kumtokea mkaka

    jitoe tu faham umwambie kwani ye hajui kama kila mtu anafeelings waweza vunga kumbe nae anakupenda ila domo zege
  10. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake hupendelea zawadi gani?

    zawadi hutofautiana inategemea na likes na dislikes za mtu hawawezi fanana katiaka taste za vitu
  11. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimehongwa gari na X Girlfriend, mke wangu hataki kuliona

    ndio anafanya vizuri na wew kwa nin umwambie limetoka kwa x wako si kuumizana mioyo tu huko aka mwenzangu utalirudisha na utatembelea daladala
  12. T

    JamiiForums Tanzania Shy-Rose Bhanji went successful surgeries

    sorry n get well soon
Back
Top Bottom