Kamanda Kazi
JF-Expert Member
- Dec 15, 2012
- 2,613
- 798
Badirisha title isomeke 'mpenzi wa mtu'!
Chezea sitaki nataka eeh!!!
sa kama mtu humtaki kwanini akupe headache? kwanini usikate mawasiliano? kwanini uumize kichwa kutafuta majibu ya kumpa?
Una umri gani?
ha ha ha ha ha ha ..wonders shall never end in jf..lolz
Yaani hata maneno ya kumwambia mtu kuwa humtaki huna!
The easiest thing for you is 'if you cant fight him join him'......
kuna kaka mmoja ni rafiki yangu na ana mpenzi wake lakin kwa muda kidogo wamekua kama hawaelewani na wanaishi nyumba moja hawajaoana asa kaka ananitaka mim niwe mpenzi wake akimaanisha kashoshwa na kutoelewana na mpenzi wake nimejitahidi mwelewesha kwamba sitaweza kua nae kwasababu nami ninampenzi wangu hanielewi labda nimjibu nin anielewe?mana amekua msumbufu kwangu