prince marwa pascal
Member
- Dec 4, 2012
- 28
- 5
Wewe mpelekee girl or boy friend wako sabuni mara 2 kisha mwambie suprise kama hajaku2kana
hahahahaaaWewe mpelekee girl or boy friend wako sabuni mara 2 kisha mwambie suprise kama hajaku2kana
Haya wifi yako amenipigia simu nataka kwenda kumuona sasa hivi, niambie nimpelekee zawadi gani ya kawaida, Ice cream au .....
Tumevamiwa na walio pagawa
zawadi hutofautiana inategemea na likes na dislikes za mtu hawawezi fanana katiaka taste za vitu
anajua ndo uwezo wako ulipoishia maskini hataki uumize kichwa mkuu ko keep her anakupenda...
Demu wangu mpaka leo anapenda sana nimletee Mabumunda na Ngubiti. Na hataki zawadi zingine.