Shy-Rose Bhanji went successful surgeries

Shy-Rose Bhanji went successful surgeries

ugua pole mama, muhimbili wameshindwa mama kukufanyia operation hadi uende india .
 
Shy-Rose unaikumbuka hii? maana magamba hamkawii kumalizana!

attachment.php
 
Huyu bibie nae anapigana sana na umri! U nid to realise ur age and act like a lady,and not s girl.
 
two types of surgeries apo kwenye bikiri line juu iyo ni normal laparatomy due to gynecological problem, hivyi vitundu vingine vilivyowekewa gauze ukiviangalia vizuri ni size ya laparascopic procedure for cholecystectomy

Mmmmh haya! total confusion
 
ugua pole mama, muhimbili wameshindwa mama kukufanyia operation hadi uende india .

kwani wanaendaga muhimbili hawa? Wote tangu walivyompiga ulimboka inapigwa simu kutoka ikulu kwamba jamaa waende wakawaandikie referal. Sasa sijui hata kwenye notes za ugonjwa huwa kinaandikwa nini?
 
Huyu bibi naye anazeeka vibaya siku ya kurudi tusipomkanya anaweza funua tumbo lake uwanja wa ndege kutuonesha sehemu ambayo amefanyiwa operation dah hiki nini sasa!
 
watu wanapofanyiwa surgery kama hii huwa wanafanya siri,sasa huyu bibi sijui ndo anaona sifa mapicha na kujitangaza.nina wasiwasi ana kasoro kwenye ubongo huyu.

ana masifa ya kijinga sana ...sasa maoperesheni yako unamuonyesha nani mipicha hii...watu utatutapisha bana
 
Itakua ni operations za multiple fibroids..na kwa umri wake wala hakutakiwa kufanyiwa athari zake zingeisha tu na menopause. Nadhani pia wamezibua mirija kwa laparascopic surgery labda anataka kuzaa..
 

Laparoscopic surgery
also referred to as minimally invasive surgery describes the performance of surgical procedures with the assistance of a video camera and several thin instruments. During the surgical procedure, small incisions of up to half an inch are made and plastic tubes called ports are placed through these incisions. The camera and the instruments are then introduced through the ports which allow access to the inside of the patient.

Asante kwa taarifa ila kiukweli hapa nimeambulia kingereza tu..nyie watu mliofundishwa na Prof.Ntogwisangu..hizi Lugha zenu c mchezo..!!Mimi Team Sociology tu
 
Mtoto wa Prof HIZA alikwenda HUKO HUKO INDIA kwa UGONJWA wa HATARI na Umemchukua MAISHA; Yaani Hospitali zetu bado hazitambui GONJWA ambazo SURVIVAL RATE ni 90%...

IT IS STILL PAIN ME... She DIED TOO YOUNG... She left 3 little KIDS... na huyu SHY anakwenda kwa UREMBO?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom