Nafikiri ni jukumu la mtoaji Kusema dhahiri kuwa sitaweza kutoa, kukubali kujumuishwa au kutoa ahadi ya mchango wa harusi si Jambo la kiume ikiwa ww hupendelei kutoa mchango...Kama unaogopa basi usitoe ahadi yoyote Ile, maana wanasema kuwa sometimes bongo bila unafiki mambo hayaendi
Hao ni vibaka, kwahiyo hapo watu watano mgao ni 60,000 na simu watauza bei ya hovyo, probably mgao wote Kwa ujumla Kwa Kila mtu hauzidi 100,000, kmmke hata kama ni njaa hiyo imezidi, siyo Kwa expense ya uhai.
Halafu zile video wanazowachukua Airport ndio kabisa, kuna watu wamechizika kabisa na wezi wanakwenda kuongezeka Dar maana hakuna namna wale wataenda kufanya kazi za Halali, ni mateja kabisa unawaona wale...Wale Jamaa Airport wengi wamerudi na begi na nguo mbili tatu na midomo iliyooza, yaani...
Anayemjua Rose atupe taarifa zake Kwanza!, bila Shaka wale ni Askari Kwa Hali hii tutakuwa kama Marekani sasa Kwa watu kupotea bila kujulikana wako wapi.
Mbona vitu vya kawaida tu hivyo, tena mida ya usiku ndio balaa, hasa usiku mnene, ukiwa ni mtembeaji wa usiku mkubwa kuwa makini kidogo na viumbe Hai unaokutana nao njiani...
Kuna Conspiracy Fulani hivi inasema kuwa Reptilian beings na Human Race from Lyra star system waliingia makubaliano ya kumuumba mtu ambaye ana sifa zao, Part reptile and part Lyra...
Sehemu ya reptile ilikuwa ni kwaajili ya Ku survive ili kuishi hata kwenye mazingira magumu kama ilivyo sifa ya...
Kwahiyo wanaume tulale na makorodani yetu yakiwa wazi?, Yaani umepigika kwenye Jua Kali na joto hata nguo nyepesi usiwe nayo ukilala, hicho kitu sifanyi Kwanza wanaume suruali moja unaweza kuvaa hata siku tatu, unaweza hata ukapiga bao usingizini na nguo ukachafua....mara nyingine ugumu au shida...
Lazima ujijue uwezo wako wa kuogelea upoje, kama uwezo ni maji magoti au Kiuno ishia hapo hapo na kama hujaogelea miaka mingi Anza Maji madogo...Kuna maji Fulani unakuta yametulia ni hatari Sana, miaka hiyo tulimzika mtu ambaye ni mtaalamu wa kuogelea kwenye maji ya Aina hii, tulichukulia Yale...
Beki zile Tia maji Tia maji...Maguire kuna wakati anakuja anakataa, Shaw ni kama karoga vile na hata hivyo yeye ndio ana afadhali, Yule Dorgu physically Yuko fiti ila kuna maamuzi anaweza kufanya kama vile Hana Ubongo, Lisandro Martinez ni Beki mzuri hasa akiwa na mpira mguuni, Yaani Kwa EPL...
Kati ya wachezaji wenye vipaji vikubwa Sana basi ni huyu Jesus, Majeruhi ndo yamemuumiza...Yaani ukizungumzia namba Tisa anayejua mpira basi huyu Jamaa naye yumo, ukiamuangalia ana vionjo Kwa mbaali Sana vya De Lima....Kusema kweli yeye na Julian Alvarez ni namba Tisa za kisasa kabisa, Kwa jinsi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.