Hayo ni matatizo hata introvert hawana kampan ya mtu mmoja
Badilisha fikra, mtazamo mengine yatajiseti jifunze kubadilika
Nkupe mfano binafsi nilikuwa napenda upweke ila nilijiona wazi kuwa kuna mishe nyingi zinabuma kwasababu hiyo
Tafuta marafk japo wachache maisha siku hizi ni connection...
Yah wanatuharibia wala sibishi
Ila hao ni watu wenye maslahi binafs wala si dini hiyo dini mfano boko haram waliteka Kijiji na humu walikuwepo waislamu
Pia tukio la mashambulizi ya mabomu kule west gate kenya (if I am not mistaken) alshabaab walifanya sawa lakini walikuwa na uhakika gan pale...
Tanatafuta hela ili tuenjoy life
Sasa wao wanapiga kaz na juhud zote ili iweje??
Halaf pia kuhusu ugumu wa maisha mimi siamini maana bongo tunapenda mapenzi lakini kuna umaskini wa kupindukia ukilinganisha na japan