Recent content by TOEDSLOTH

  1. TOEDSLOTH

    JamiiForums Tanzania Special thread: Interesting (best) Quotes | Misemo yenye hekima ndani yake, Nukuu

    Chura wa jangwani kageuka omba omba Sent using Jamii Forums mobile app
  2. TOEDSLOTH

    JamiiForums Tanzania Ya Said Fella, Ruge na washindwa....

    Amesema ameitwa na polisi tena kwa kupigiwa cm! Na hpo ndipo nilipoona dalili za kuhojiwa na kuachiwa, wanazidi kumpa ujiko uchwara wangemshikilia hta miezi 7 lupango ili usela mavi umtoke, Sent using Jamii Forums mobile app
  3. TOEDSLOTH

    JamiiForums Tanzania Ya Said Fella, Ruge na washindwa....

    The bomb is tickin"[emoji324][emoji324] Sent using Jamii Forums mobile app
  4. TOEDSLOTH

    JamiiForums Tanzania Waziri Mwakyembe aiagiza BASATA washirikiane na Jeshi la Polisi kumchukulia hatua Dudubaya

    Kinachotokea kwa Dudu baya ni hiki hpa--- When we meet real Tragedy in life, we can react in two ways-- either by losing hope and falling into self destructive habit, or by using the challenge to find our inner strength, Sent using Jamii Forums mobile app
  5. TOEDSLOTH

    JamiiForums Tanzania Sasa unaweza kubadili laini ya mtandao bila kubadili namba ya simu

    Nimesoma mara mbili mbili lkn nimeambulia patupu! Kwa aliye elewa ulichomaanisha naomba anijuze tafadhali Sent using Jamii Forums mobile app
  6. TOEDSLOTH

    JamiiForums Tanzania FIFA Yamfungia Maisha Mwamuzi Kutoka Tanzania, Oden Charles Mbaga

    Bora2 aachane na soka mchezo wenyewe umetawaliwa na ushirikina mtupu, ww timu inatembeza Bakuli kila cku lkn inashinda kama cyo ulozi ni nini Sent using Jamii Forums mobile app
  7. TOEDSLOTH

    JamiiForums Tanzania Makonda amkubali Ruge Mutahaba, asema alienda kumfanyia maombi nyumbani kwake na atangaza kushiriki Tigo Fiesta!

    Rais wa Somalia akila mirungi uku akipanga mipango, lbda nimepotea uzi, Makonda!!, Ruge!!,( Maombi) [emoji87][emoji87] Sent using Jamii Forums mobile app
  8. TOEDSLOTH

    JamiiForums Tanzania Bien Frema; Nitaipeperusha bendera ya nchi yangu

    Balisema batarudi tena Bandeko, ju ya fasi Sent using Jamii Forums mobile app
  9. TOEDSLOTH

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu ndiye mume wangu

    Kweli uyo ni mtanzania, manake ukishindwa kumtawala Mtanzania hta mbuzi hauwezi kuwachunga Sent using Jamii Forums mobile app
  10. TOEDSLOTH

    JamiiForums Tanzania Juma Jux: Mtaalamu wa kutupia viwalo

    Ujinga nao ni sehem ya maisha Sent using Jamii Forums mobile app
  11. TOEDSLOTH

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu wananiogopa sana?

    Mke wako lzma akusifie unafikiri atakuponda, lbda una sura kama vile mtu anaetaka kupiga chafya Sent using Jamii Forums mobile app
  12. TOEDSLOTH

    JamiiForums Tanzania Hivi Kuna document yeyote ya itifaki ya kidiplomasia naweza kuipata?

    Nenda pale Casa blanca au kwa kizungu white House utapewa full document, lkn ukiingia umo nackia ukipepesa macho2 watu wasiojulikana watakuhifadhi mahali pema Sent using Jamii Forums mobile app
  13. TOEDSLOTH

    JamiiForums Tanzania Tunaweza kuwaepuka wahindi?

    Gabachori Sent using Jamii Forums mobile app
  14. TOEDSLOTH

    JamiiForums Tanzania Mfahamu James Ngomero: Bingwa mtuhumiwa wa zile maiti 11 za watoto hospitali ya Mwananyamala

    Ni kweli kama waliweza kutubu akina bokasa sembuse bwana Ngomero Sent using Jamii Forums mobile app
  15. TOEDSLOTH

    JamiiForums Tanzania Mfahamu James Ngomero: Bingwa mtuhumiwa wa zile maiti 11 za watoto hospitali ya Mwananyamala

    Atakua ni kada wa chama kile kinachofanana bendera na jezi za Vyura fc, manake ndio chama wanachojifichia waalifu kama uyo bwana Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom