Guys.. Mm naombe niwe muwazi.. Huyu demu nimechati naye sana ila niligundua hana hadhi yangu.. Yaan Ni ful Tom boy , alafu kanyimwa sura ana sura ngumu balaa, midomo meusi imevimba..
Yan kuna mdau hapo jua ameeleza kuwa wanaume tuna angalia mtu wakuleta home wengine tunamaliziana guest...
Kuna kitu kimoja najaribu kujiuliza nimejaribu kuongea na na watu wa uko sumbawanga na songea wanao lima haya maharage ya njano.. Wao wanasema heka moja hutoa kati ya 5-8gunia, lakini nikachunguza wao wanalimaje nikagundua wao hawafanyi majaruba, kama Kisima avyo twambia yeye hufanya, pia...
Naombeni mkulima wa maharage anipe wazo hivi nikiotesha maharage ya Soya ya kijivu napata gunia ngap kwa eka moja??
Na yale maharage ya njano napata gunia ngap kwa ekari moja??
Dah hii kubwa simchezo maana hii ni robo heka maana heka nzima ina 4047sqm
Yaan hiyo 1046 sqm unayo isema ana jenga had swimng pool ana packing ya gari 5 na space zinabak nyingi tu
Wanao jua washa gombani Shamba.. Kama wewe unaona too expensive kwa Shamba lililoko karibu na bara bara ya lami.. Aridhi ambayo ina rutuba na umesha safishiwa Shamba.. Subiria raisi . Kwenye mapori kisha anza procedure zakulipia, wafyekaji 50,000/=, wang'oa visiki 200,000/= .. Alafu bei ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.