Nauza Shamba langu Heka 3, (350,000/= @ 1)

Nauza Shamba langu Heka 3, (350,000/= @ 1)

Simu uangu ukimaliza neno inajibadili ukiweka space ili umove ahead lugha inajibadili kulingana na saving of words poij.. So just get concept iliyo kusudiwa.. Achana na obviously things.. Tick to the intended msg..
Mkuu turn-off dictionary au word prediction kwenye settings ->Keyboard
 
Wanao jua washa gombani Shamba.. Kama wewe unaona too expensive kwa Shamba lililoko karibu na bara bara ya lami.. Aridhi ambayo ina rutuba na umesha safishiwa Shamba.. Subiria raisi . Kwenye mapori kisha anza procedure zakulipia, wafyekaji 50,000/=, wang'oa visiki 200,000/= .. Alafu bei ya kununulia shamba pori 300,000/= procedure za 10% ya kijiji 30,000/= alafu malizia na kulima 50,000/= sasa banda ya hapo ndio utajua kuwa bei niliyo itaja ya 350,000/= kwa kukufanyia vyote hivyo ni ghali au raisi..

By the way wanaojua thamani washa gombania.. Endelea na akili yako na wengine wana endelea na zao.
 
Habari zenu wana jamii..
Nina shamba langu la hekari 3, lipo mpakan mwa Pwani na Morogoro.. Ukitoka Msolwa kama unaenda morogoro..
Ni Km3 kutika barabara kuu ya lami iendayo Moro.

Ndio nilikuwa naliandaa kuanza kulima ila ninepata, respond ya Scholarship to Sweden.. Nahitaji hela ya kujazia nauli.. Ndio maana nauza bei ya kutupa.

Bei 350,000/= kwa heka 1 ila nauza zote3 kwa mkupuo ziuzi moja moja.

Ardhi inarutuba haijaguswa 7yrs..
Mazao yote yanakubali, udogongo mzuri

Wasiliana na mm kwa simu
0625962883
Mheshimiwa hicho kipimo cha hekari unakifahamu vizuri?una maana kuwa shamba lako ni zaidi ya Ekari7 au unamaanisha ni ekari3? Hebu liweke hili clear.
 
Mheshimiwa hicho kipimo cha hekari unakifahamu vizuri?una maana kuwa shamba lako ni zaidi ya Ekari7 au unamaanisha ni ekari3? Hebu liweke hili clear.
Kama hata ilo nililo andika hapo hujalielewa basi mkuu.. Walisha elewa wajuzi na washalipia no more time For clarification .
 
Mpaka shamba tuweke picha?
Yes tena aweke Geo tag photos,picha zenye coordinates za GPS,ili twende sawa,kabla hatujawasiliana,na zama wizarani,nacheki kama hiyo sehemu,IPO,na master plan ya Serikali inasemaje kuhusu eneo husika
 
Mh! Kuna watu wasumbufu na wakatisha tamaa huku wanajua fika hawana nia au uwezo wa kununua hata kama wangeambiwa 50,000/= kwa heka bado wasingekosa sababu.

Ki ukweli sikua vizuri na imekuja ghafla lakini hii bei ilikua ya kutupa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom