Sasa sifa utapataje huku we Dada?? Hata mtu kumjua kimaumbile humjui utakuja tapeliwaa!!!Nmekosa mwenye sifa nizitakazo hlf kila mtu ana akili tofauti yawezekana mimi nilivutiwa kupata huku jf vipi una jingine ?
Tungo tata mzee baba..Asilimia kubwa ya wanaume humu wanawake.
Tungo tata mzee baba..
Wewe ndiye unaetafuta cheo kwa nguvu ?Haya, karibu kwangu hata muda huu
Huyo atakae kupeleka nyumbani kwake kabla hamjazoeana atakua ndo tapeli halisi.yawezekana sikua serious ila reaction yake inatia hofu unajua kabisa ni tapeli utaendelea kutaka kutapeliwa? 🙂
Pole sana, uvumulivu muhimu.Habari zenu wanajukwaa.
Andiko hili nalileta kwenu ili kuwapa mrejesho wa kile nilichokiandika hapo juu.
Ni kama miezi miwili na kidogo nilileta tangazo la kutafuta mchumba hapa ktk jukwaa hili. Kweli watu walikuwa na muitikio mkubwa tuu mamia ya watu walinitafuta PM lakini duh nilikutana na vituko mpaka vinachekesha.
Ni vingi mno siwez kuwaelezea vyote ila nitawaelezea baadhi tuu ambavyo ni vya kushangaza zaidi;
Kituko no 1 ambacho kiliniacha mdomo wazi nilikutana PM na jamaa mmoja akajinadi weeee kama mtu. Akaomba tukutane nae tuongee vizuri kwa mapana nikamjibu hakuna tatizo nitakujuza ni lini siku ya kukutana, akanipatia namba tukaanza kuchat. Kumbe mimi namchunguza sehemu mbalimbali kwa kutumia ID yake siwez kukurupuka kukutana na mtu simjui lazima nifanye uchunguzi yakinifu.
Nikagundua jamaa ana mke tena ni mjamzito ila kwa wakati ule mke alikuwa kwao mkoani kujifungua. Nikazichukua picha za dada wa watu nikamtumia mumewe nikaandika na caption kuwa dhambi hiyo fanya mwenyewe. Jaman wanaume hawa!
Alishangaa nikamwambia usinitafute la sivyo nitampa taarifa mke wako alikuwa mpole akaniblock faster WhatsApp na miadi ya kuonana ikafa.
Kijeba no 2. Ni jamaa mmoja hiviiii tulipeana no tukazama inbox kila wakati mabusu moto inbox wacha wewe ila tatizo akiandika hatengi maneno mf. "Nipohapa".
Tukachatiiiii ila ukimtafuta usiku hapokei simu asubuhi ataniambia nilikua nimechoka nikalala fofofo, mara nilipata homa nikawa mbali na simu, mara mtandao wa shida nyakati za usiku ila yupo mjini Daslam tena kati.
Ikaja siku ya kukutana, tukaipanga siku ya kukutana sawa hee nikamwambia tukutane jirani na nyumbani kwako ikiwezekana nikutembelee. Jamaa akaanza sababu, mara vitu sijapanga ndani pako vuluvulu, tuanzie kukutana kwako. Nikaona kimeo nikampa block kwendaaaa
Njemba no 3 na 4. Hawa wanafanana kauli, kikwazo cha kuwatembelea makwao ni kwamba mmoja anaishi na mtoto wa dada'ake wa kike mwenye miaka 28 na mwingine anaishi na binamu yake miaka 26 wa kike anamsomesha, wanaishi nae wawili tuu kwahiyo nisiende kwanza tukutane bar. Hapo wewe kama una kauwezo kadogo tuu ka kufikiri jiongeze.
Binadamu no 6. Huyu ni kiboko, mwalimu huyu balaa tumechatiiiii mambo mengi sana ila nilipofika kwenye point ya kufika akasema ana mpango wa kuhama alipo kwahiyo nyumbani kwake vitu kavifunga vipo ktk mafurushi kwahiyo nisubiri ahamie kwingine ila mimi na yeye tukutane kwangu.
Mimi nikamwambia kwangu hapana mpaka nifike kwako sasa. Akasemaaaa tukutane hotelini nikamwambia poa. Etiii akaniuliza siku hiyo utarudi nyumbani au tuchukue room ili tuongee kiundani kabisa deeply? Nadhani alimaanisha maongezi gandamizi kuminywa. Kwikwikwi!
Niishie hawa tuu ila vituko vilikua vingi mnoooo ila mpaka sasa sijabahatika kukutana face to face na yeyote baada ya kuona yale tuu sikuingia humu tangu january lol na sitaki tena mchumba nimeshiba.
Duh!Guys.. Mm naombe niwe muwazi.. Huyu demu nimechati naye sana ila niligundua hana hadhi yangu.. Yaan Ni ful Tom boy , alafu kanyimwa sura ana sura ngumu balaa, midomo meusi imevimba..
Yan kuna mdau hapo jua ameeleza kuwa wanaume tuna angalia mtu wakuleta home wengine tunamaliziana guest alikuwa sahihi kabisa.. Huyu demu ntawatumia picha zake mmuone alivyo alafu mtaelewa nikwanini katika Story za mrejesho wake amaezinguliwa na wanume wote..
Wewe hujiulizi hapo inakuwaje wanaume wote waishie kumbania kufika kwao? Hivi kuna mwanaume anacha papuchi kirahisi hivyoo..!
Yaan hatamanishi hata kidogo kwanaza hajipendi, yuko rafu, kakomaa sura balaa.. Alichopewa na mungu ni uwezo wakujieleza tu.. Kifua bapa ziwa hajapewa.. Yaan ukichat naye ukapata hisia kuwa unachat na mwanamke aisee wewe utakuwa mwanaume ulietoka gerezani unaukame wa miaka 20.
Niko naya Maeneo mtaa mmoja ila hanijui sura.. Tuliishia kuchat alipotuma picha kumbe nindemu ninaye muona kila siku mtaani kwetu.. Nikaanza kumzingua.. Tena hapo katika list ya watunalio chat naye aliyoweka amaeruka vitu vingine vinginsana...
Anisamee kwa kuwa muwazi maana naona anaadaa watu kuwa yeye ni super sana.. Ila siyo kweli ni kijeba sana na akibisa nita weka picha zake mumuone alaffu wanaume mseme wenye kama kweli unaweza mkaribisha nyumbani kwako labda umlete usiku watu wakiwa wamelala na umtoe saa 11 asubuhi.
I think.. Hili analo lifanya hapa ni kuwafedheesha wahusika.. Ajue pia hao wahusika wana sababu zao naowao wakiamua kukimwaga hapa kwenye kumkosoa alivyo itakuwa shida sana maana kama aliachana na mtu kwa uzuri bila kutukanana unavyo kuja kuanika hapa ina maana umedhamiria kuwadhalilishaUandishi wako ni wa dume.. Ni wachache saana watagundua
Haina haja mkuuGuys.. Mm naombe niwe muwazi.. Huyu demu nimechati naye sana ila niligundua hana hadhi yangu.. Yaan Ni ful Tom boy , alafu kanyimwa sura ana sura ngumu balaa, midomo meusi imevimba..
Yan kuna mdau hapo jua ameeleza kuwa wanaume tuna angalia mtu wakuleta home wengine tunamaliziana guest alikuwa sahihi kabisa.. Huyu demu ntawatumia picha zake mmuone alivyo alafu mtaelewa nikwanini katika Story za mrejesho wake amaezinguliwa na wanume wote..
Wewe hujiulizi hapo inakuwaje wanaume wote waishie kumbania kufika kwao? Hivi kuna mwanaume anacha papuchi kirahisi hivyoo..!
Yaan hatamanishi hata kidogo kwanaza hajipendi, yuko rafu, kakomaa sura balaa.. Alichopewa na mungu ni uwezo wakujieleza tu.. Kifua bapa ziwa hajapewa.. Yaan ukichat naye ukapata hisia kuwa unachat na mwanamke aisee wewe utakuwa mwanaume ulietoka gerezani unaukame wa miaka 20.
Niko naya Maeneo mtaa mmoja ila hanijui sura.. Tuliishia kuchat alipotuma picha kumbe nindemu ninaye muona kila siku mtaani kwetu.. Nikaanza kumzingua.. Tena hapo katika list ya watunalio chat naye aliyoweka amaeruka vitu vingine vinginsana...
Anisamee kwa kuwa muwazi maana naona anaadaa watu kuwa yeye ni super sana.. Ila siyo kweli ni kijeba sana na akibisa nita weka picha zake mumuone alaffu wanaume mseme wenye kama kweli unaweza mkaribisha nyumbani kwako labda umlete usiku watu wakiwa wamelala na umtoe saa 11 asubuhi.
Aiseee.Maneno makali ndugu yangu.Hakuna demuuu mubayaaa ni matunzooo tu wajameniiiiDem mbaya siwezi mleta nyumbani kwangu.. ...wanaume tunapenda kuwaleta madem wazur pekee nyumbani.....DEM mbaya lazma nimpe sababu nyingi....
Madem wabaya asilimia kubwa tunamalizana nao gest.
Wenda ukawa ni mwanamke mbaya usie na mvuto. Jichunguze
Mara nyingi penda kupanda Mbegu ya Amani.Haya mambo hutokea kweli.Wala hajadanganya.Mwanamke ukikosa bwana hata wa kukukamua mtaani kwako we ndio mwenye matatizo tena makubwa!! Unakuja tafuta mchumba JF na unawatangaza juu aseee no wonder umekosa hata kiben10 cha kukuliwaza panya wewe!
Jf bwana.Kuna mamboooooHuyo atakae kupeleka nyumbani kwake kabla hamjazoeana atakua ndo tapeli halisi.
Nifuate mm pm uone kama nitakudanganyaHabari zenu wanajukwaa.