Recent content by to be

  1. to be

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukiwa bahili, Wanawake wazuri utakula kwa macho tu

    Hivyo ndivyo ulimwengu wa giza unavyofankiwa kuharibu maisha ya watu wengi kwa kutumia ngono ,watu wameibiwa nyota zao pia, na mengine mengi bila wao kujua,aliyeibiwa hajijui ila huishia kuona amefaidi sana aliyefanya nae ngono
  2. to be

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukiwa bahili, Wanawake wazuri utakula kwa macho tu

    Hivyo ndivyo ulimwengu wa giza unavyofankiwa kuharibu maisha ya watu wengi kwa kutumia ngono ,watu wameibiwa nyota zao pia, na mengine mengi bila wao kujua,aliyeibiwa hajijui ila huishia kuona amefaidi sana aliyefanya nae ngono
  3. to be

    JamiiForums Tanzania Mtaji wa Milioni 5-10 (TZS): Biashara gani unaweza kufanya?

    Vp umeshaipta sehemu sahihi ya kuwekeza?
  4. to be

    JamiiForums Tanzania Mapokezi ya Mbowe Jimboni Hai yadoda, CHADEMA yaahidi kugawa nyama Kama motisha Kwa wahudhuriaji

    Watu wa propaganda mshaanza,havi mnapewa sh ngapi?
  5. to be

    JamiiForums Tanzania Prof Kabudi asitufanye watanzania wote ni wajinga tusioweza kutafsiri maneno mepesi ya kiingereza ya "disappeared and died"

    Hata Mimi nashangaa anakanusha wakati ushahidi wa video upo na kweli alitamka hivyo
  6. to be

    JamiiForums Tanzania Bakhresa kwa Makonda, Mwakyembe na Tido, na Nilichojifunza Binafsi

    Aisee nimeiyona hiyo video ,du! Nadhani jamaa hawajui mawazir na hata makona hajulikani maana hate kuonyesha dalili tu hamna
  7. to be

    JamiiForums Tanzania Tupeni mrejesho mliowekeza kwenye mashamba ya miti

    Mimi nilipanda mikaratus ( milingoti) na kipindi hicho napanda ilikuwa Haina soko ,watu wengi walikuwa wanapanda miti aina ya pine, nikaamini kuwa mpaka ikomae itakuwa na soko huko nyumbani kwa sabab watu wengi walikuwa wanapanda aina ya pine.saiz nishaanza kupokea simu zinazotaka niuze na Mimi...
  8. to be

    JamiiForums Tanzania Natarajia kuhamia mkoa wa Morogoro

    Mm nipo town
  9. to be

    JamiiForums Tanzania Ninadaiwa Tala, Branch na M-pawa. Nisipowalipa watanifanya nini?

    Nyie ndo mnasababisha tusikopeshwe tena
  10. to be

    JamiiForums Tanzania Ninadaiwa Tala, Branch na M-pawa. Nisipowalipa watanifanya nini?

    Hamia l- pesa mkopo nje nje, nimewasubiri Tala Bila mafanikio, nilipo warudishia laki mbili na arobain mpaka Leo hawajanipa tena
  11. to be

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli kwa hakika alindwe sana tayari wabaya wake wako hadharani

    Acha kupotosha watu ,katiba yao ambayo ndo sheria mama haijazuia Hilo unalosema, hizo unazosema Ni desturi tu na sio lazima zifuatwe ila katiba ndo lazima ifuatwe, alaf hata Kama Ni kweli katangaza Nia sio sababu ya kumuhukumu et Ni adui ,sio kweli hiyo ndo demokrasia na hicho ndo kipimo Cha...
  12. to be

    JamiiForums Tanzania Nyota ya Steven Masele yazidi kuwaka mbele ya macho ya Ndugai, Nigeria yamtaka Masele ahudhurie kuapishwa kwa Buhari,Rais wa Nigeria!

    Namkumbuka marehemu shelembi alikuwa anajiita mashine ya kusaga na kukoboa mafisadi
  13. to be

    JamiiForums Tanzania Ipo siku mtu ataenda mahakamani kutaka uchaguzi usimamiwe na Wageni na atashinda!

    Duh! Aisee napata shida na thinking capacity yako ,kwaiyo chama tawala kikishindwa uchaguzi kwa haki mkurugenzi atakuwa hajatimiza majukumu yake? Nadhani hapa Sasa tunaanza ushabiki na sio facts . [emoji849][emoji849][emoji849]
  14. to be

    JamiiForums Tanzania Ipo siku mtu ataenda mahakamani kutaka uchaguzi usimamiwe na Wageni na atashinda!

    Sasa rais wako mpendwa alishasema mkurugenzi atakaye mtangaza mpinzani kashinda uchaguzi atakuwa Hana kazi Tena, huko sio kuharibu amani ya nchi? Je huko sio ubaguzi? Usiangelie Mambo kwa upande mmoja tu angalia na sababu inayofanya uchaguzi usiaminike kuwa huru na haki.
  15. to be

    JamiiForums Tanzania Ni dhahiri Gwajima ameshindwa kujitetea

    Unajidanganya
Back
Top Bottom