Bakhresa kwa Makonda, Mwakyembe na Tido, na Nilichojifunza Binafsi

pinno

pinno

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2013
Messages
1,095
Points
2,000
pinno

pinno

JF-Expert Member
Joined Jan 17, 2013
1,095 2,000
Kuna video nimeiona, nashindwa tu kuiweka hapa,

ila watanisaidia wenye nayo, maana ipo sana tu mtandaoni,

inamuonesha Mzee SSB, akiingia msibani, kwenye msiba wa wafanyakazi watano wa Azam Media, kuelekea kiti kwake, anampita Katibu wa CCM ndugu Polepole, anampita Rc wa Dar es salaam, almaarufu kama mungu wa Dar, DAB, Makonda, anampita waziri mwenye dhaman na michezo habari na burudani, Mhe Mwakyembe, anasogea kwenye kiti chake anakaa, anampa mkono mzee wa pembeni yake ambaye, sura sio ngeni ila sijamtambua vizuri.

Na anaendelea na taratibu nyingine, wakati huo huo, jicho la kamera, linamtazama Mhe Mwakyembe, na Makonda, ni kama vile wanataka kutoa mkono wa pole kwa mzee, wasalimiane nae, ila wanaona tena kama itifaki itakuwa haijakaa sawa, basi wanabaki wasijue la kufanya, na yeye ni kama vile hana taimu nao, au ukute hata hajawajua. (Inawezekana kabisa akawa hawajui)

Mara anakuja Tiddo, ambaye ni mwajiriwa wake, kama Mkurugenzi wa Azam media ,mzee anasimama anamsalimia Tiddo kwa adabu na heshima.

My take :

1. Mzee anathamini Wafanyakazi wake, na kuwashobokea hao, zaidi ya viongozi wa kisiasa, ambao kwa kawaida mabosi wengi mtaani wangefanya kinyume na hapo,

2. Mzaa yupo busy na mambo yake, na hivi Magu anabadilisha badilisha mawazir na wakuu wa mikoa, ukute jamaa hata hajui in person wazir wa michezo ni nani, watu wake wanajua, kampuni zake zinajua, ila yeye in person hana muda wa kufuatilia hayo na hayana umuhimu kwake.

3. Anapenda kuishi kawaida sana
 
Desire Dizaya

Desire Dizaya

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2015
Messages
6,353
Points
2,000
Desire Dizaya

Desire Dizaya

JF-Expert Member
Joined Feb 16, 2015
6,353 2,000
Hao kama ni club wakienda wanakua VIP kajamba nani hakuna huko,totozi ni wapambe tu wanafanya kazi ya kuimbisha manzi anapelekwa double tree/kempinsiki(presidential rooms) au huko kwny yatch yeye mshikaji akija kazi ni 1 tu.,mbupu.com

Wanajua nafasi yao kwny jamii.
Kweli aisee loh..
 
Michibo

Michibo

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2015
Messages
648
Points
1,000
Michibo

Michibo

JF-Expert Member
Joined Feb 16, 2015
648 1,000
Acheni dharau, hata ingekuwa mimi kwa uzee ule nimshobokee Bashite kwa lipi.... wao wameenda kumpa pole wafanye hivyo kisha waondoke hayo mambo ya kuhofia sijui itfaki za kisiasa labda kwa wafanyabiashara wenye maghumashi.
 
N

NAKWEDE

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2007
Messages
25,254
Points
2,000
N

NAKWEDE

JF-Expert Member
Joined Aug 1, 2007
25,254 2,000
Haaaa haaaa alinipita hata mimi,badala ya kunisalimia kwa unyenyekevu kajipitia tu kama vile sikuwepo.Huyu Mzee ni shida labda anafikiri yeye ni tajiri kuliko mimi.
Pole mkuu "Manji" kwa yaliyokukuta!!!
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
to be

to be

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2016
Messages
237
Points
250
to be

to be

JF-Expert Member
Joined Aug 8, 2016
237 250
Aisee nimeiyona hiyo video ,du! Nadhani jamaa hawajui mawazir na hata makona hajulikani maana hate kuonyesha dalili tu hamna
Kuna video nimeiona, nashindwa tu kuiweka hapa,

ila watanisaidia wenye nayo, maana ipo sana tu mtandaoni,

inamuonesha Mzee SSB, akiingia msibani, kwenye msiba wa wafanyakazi watano wa Azam Media, kuelekea kiti kwake, anampita Katibu wa CCM ndugu Polepole, anampita Rc wa Dar es salaam, almaarufu kama mungu wa Dar, DAB, Makonda, anampita waziri mwenye dhaman na michezo habari na burudani, Mhe Mwakyembe, anasogea kwenye kiti chake anakaa, anampa mkono mzee wa pembeni yake ambaye, sura sio ngeni ila sijamtambua vizuri.

Na anaendelea na taratibu nyingine, wakati huo huo, jicho la kamera, linamtazama Mhe Mwakyembe, na Makonda, ni kama vile wanataka kutoa mkono wa pole kwa mzee, wasalimiane nae, ila wanaona tena kama itifaki itakuwa haijakaa sawa, basi wanabaki wasijue la kufanya, na yeye ni kama vile hana taimu nao, au ukute hata hajawajua. (Inawezekana kabisa akawa hawajui)

Mara anakuja Tiddo, ambaye ni mwajiriwa wake, kama Mkurugenzi wa Azam media ,mzee anasimama anamsalimia Tiddo kwa adabu na heshima.

My take :

1. Mzee anathamini Wafanyakazi wake, na kuwashobokea hao, zaidi ya viongozi wa kisiasa, ambao kwa kawaida mabosi wengi mtaani wangefanya kinyume na hapo,

2. Mzaa yupo busy na mambo yake, na hivi Magu anabadilisha badilisha mawazir na wakuu wa mikoa, ukute jamaa hata hajui in person wazir wa michezo ni nani, watu wake wanajua, kampuni zake zinajua, ila yeye in person hana muda wa kufuatilia hayo na hayana umuhimu kwake.

3. Anapenda kuishi kawaida sana
 
The Icebreaker

The Icebreaker

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2018
Messages
3,917
Points
2,000
The Icebreaker

The Icebreaker

JF-Expert Member
Joined Feb 11, 2018
3,917 2,000
Yeye binafsi hafuatilii, ila amemuajiri Tiddo ili afuatilie, hapo vipi?
Huyo Tiddo hua hamjulishi/haripoti kwa bosi wake kwa yanayotokea kwenye ulimwengu wa siasa/uongozi?
 
pinno

pinno

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2013
Messages
1,095
Points
2,000
pinno

pinno

JF-Expert Member
Joined Jan 17, 2013
1,095 2,000
Huyo Tiddo hua hamjulishi/haripoti kwa bosi wake kwa yanayotokea kwenye ulimwengu wa siasa/uongozi?
Anarepoti comprehensive summary, haiwezi fika kwenye details hzo ndogo ndogo,

kumbuka mzee baba, ana makampuni karibu 30 ndani na nje ya nchi, hizo details za kuanza kuzingatia sijui Makonda, sijui Mwakyembe ndo nani kasma nini, atafuatilia ngapi? na ana interest karibu katika miji yote mikubwa east africa, tofauti ni kuwa hapa Dar ndo makazi yake na home to many of his holding company
 
Tunkamanin

Tunkamanin

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2015
Messages
686
Points
1,000
Tunkamanin

Tunkamanin

JF-Expert Member
Joined Feb 27, 2015
686 1,000
Mzee anauishi uislam wenyewe, kinda kindaki anaiweke dini kweny matendo yake, hajivuni na utajiri wake, hafanyi israfu katika Mali zake, bado anamuabudu vyema Allah subhaanahu wataala, hana choyo anajali na kuwapenda watu wa dini zote. I sense something different from this creature. Allah ampe mwisho mwema.
 
mng'ato

mng'ato

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2014
Messages
15,507
Points
2,000
mng'ato

mng'ato

JF-Expert Member
Joined Oct 27, 2014
15,507 2,000
Anarepoti comprehensive summary, haiwezi fika kwenye details hzo ndogo ndogo,

kumbuka mzee baba, ana makampuni karibu 30 ndani na nje ya nchi, hizo details za kuanza kuzingatia sijui Makonda, sijui Mwakyembe ndo nani kasma nini, atafuatilia ngapi? na ana interest karibu katika miji yote mikubwa east africa, tofauti ni kuwa hapa Dar ndo makazi yake na home to many of his holding company
Ukute mzee baba hajui hata kama Tz imetoka AFCON.
 
mng'ato

mng'ato

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2014
Messages
15,507
Points
2,000
mng'ato

mng'ato

JF-Expert Member
Joined Oct 27, 2014
15,507 2,000
Mzee anauishi uislam wenyewe, kinda kindaki anaiweke dini kweny matendo yake, hajivuni na utajiri wake, hafanyi israfu katika Mali zake, bado anamuabudu vyema Allah subhaanahu wataala, hana choyo anajali na kuwapenda watu wa dini zote. I sense something different from this creature. Allah ampe mwisho mwema.
Niliona clip1 hivi anatoka msikitini ndg zangu waislamu wamezunguka wanamsafishia njia,nikasema daah tutafute pesa tu aiseeee.
 
linguistics

linguistics

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2014
Messages
4,140
Points
2,000
linguistics

linguistics

JF-Expert Member
Joined Jun 22, 2014
4,140 2,000
Hata sijui aliongea nini mkuu,mbugani hawezi kwenda mpk hasira za mzee baba ziishe maana alimdanganya siku ile" baba naomba ruhusu niende misri nikalete ushindi" hahah.
Alisema Sie tuliobaki tujiulize kama tunatenda matendo ya kumpendeza Mungu
 
Lord eyes

Lord eyes

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2018
Messages
5,126
Points
1,995
Lord eyes

Lord eyes

JF-Expert Member
Joined Aug 2, 2018
5,126 1,995
Nasubiri mwendelezo first film Bhakresa to the public
 
Forum statistics

Threads 1,316,455
Members 505,652
Posts 31,890,972
Top