hii namba 0764461005 ni ya wafanyakazi wa NMB?maana ananiuliza aniulizia kuwa sijafanya uhakiki kwenye akaunti yangu ya NMB. afu mbaya kabisa ananiulizia mara ya mwisho nimetoa hela lini.
inaniumiza sana viongozi tuliowachagua wamekaa kimya wakati serikali ikiwapora watumishi wake penshen wasiostahili.. hivi hakuna hata kukeme au kuilaani kinachoendela hakuna. wote wamekaa kimya. kuna haja gani ya kuwa na vyama vya wafanyakazi tz?
unastaafu badala ya kupewa penshen ya 100% badala...
Nimeyaona mengi..........umenikumbusha mbali sana kwa huu uzi.............yupo mzee mmoja jirani yangu ameachwa na watoto wake, historia yake inasemekana kuwa alikuwa hawatambui watoto wake kipindi alipokuwa na kazi alikuwa anachoma nyama na kula mwenyewe baa na marafiki zake lakini nyumbani...
uongozi ni talanta aliyonayo mtu. kuwa na degree siyo kuwa kiongozi bora hata wapo wazeee ambao hawana hata elimu ya primary wanaongoza vizuri mno kuliko hata sisi wenye degree. so degree isikutishe
nimeichukia sana hicho kitendo. serikali yetu wanakimbizana na kina lema na lisu lakini vitu hatari kama hivi wameviacha.huu ni udhalilishwaji mkubwa na unapaswa kulaaniwa kwa nguvu zote. wizara husika chukueni hatua kali ili kudhibiti hali hiyo. watu waishi kwa amani siyo kwa mashaka
kila unapoenda kulala sali sala hii...... baba yetu x3. salam maria x3 afu weka rozali takatifu chini ya mto unaoulalia siku zote unapoenda kulala.... hutaona katika maisha yako kukabwa tena
meza amoxylline 500mg mara 3 kwa siku kwa muda wa siku 7,flagy 400mg mara tatu kwa siky kwa muda wa siku 7na baadae meza omeprazole 20mara mbili kwa siku kwa wiki 4 hadi sita. utapona.kabisa
wana jf. me nipo kilosa natafuta.simu aina halotel kama ilivyo hapo juu.ninaomba nielekzwe inapatikana wapi hapa kilosa na pia bei ake. aksanten[emoji120]
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.