Recent content by Tit4tat

  1. Tit4tat

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu changamoto hii ya mke wangu

    Pole saana mkuu, ingkuwa ni mimi nicngkuwa na amani ya kuish na huyo mwanamke. Nlisalitiw alilal na dereva wa gari coaster, nliumia sana na kilichoniumiz zaid kila nlipoona gari aina ya coaster nlikumbka hili tukio. Huyo wa kwako ameliwa seblen cdhan kama ningkuwa na aman kukaa hta hapo seblen...
  2. Tit4tat

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Waungwana nateketea

    Habari wakuu! Ipo hivi, nipo kwenye mahsiano na mwanamke aliyeachwa kwa kosa la usalit katika mahsiano yake ya mwanzo. Alimsalit mtu wake akaja kwang, jamaa alipogundua akaachane nae. Jamaa anafamilia yake tang zaman kwahiyo alkuw na huyu mwanamke kama mchepuko wake lakin baad ya mwez kupita...
  3. Tit4tat

    JamiiForums Tanzania Hunijui, sikujui lakini nimekuokoa

  4. Tit4tat

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Ni kweli, lakin imewekwa kwenye flashbet
  5. Tit4tat

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kuna mshkaj huwa anantumia correct score 🆓 kabsa ila changamot yake znakuwa flashbet tu. Jana katuma 55 ODDS zmetoa Leo kamtumia hizi👇 🧨Attention - free match - inside ⚽️ Football: USA. Framington Cup ⚔️ Teams: Grankula IFC - Uurijad ❇️ Correct score: 0:2 ODDS 27.3
  6. Tit4tat

    JamiiForums Tanzania Mfanyakazi wa kuuza dawa za binadamu (DLDM) anahitajika

    Ndio sorry lakin!!
  7. Tit4tat

    JamiiForums Tanzania Mfanyakazi wa kuuza dawa za binadamu (DLDM) anahitajika

    Magroup ya aina gan
  8. Tit4tat

    JamiiForums Tanzania Mfanyakazi wa kuuza dawa za binadamu (DLDM) anahitajika

    Sawa na mada hapo juu. Awe na cheti cha ADO Awe mwanamke (20-35yrs) Location: Songea- Madaba Nichek kwa namba 0787756787
  9. Tit4tat

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kujipima kama una upendo wa kweli na uvumilivu basi fuga mbuzi wa kienyeji

    Aisee hawa viumbe wasumbufu!!!!! Nakumbka dadang alipata mgawo wa urith wa mbuz..... Kila siku jion nkaw nampelek malishon, huyo mbuz alikuw ananguv ya ajabu siku hiyo nikajichangany kujifunga kamb yake kiunoni ghafla si akaanza mbio. Nilinusurk kuumia maan ile kamb ilikwam kweny kisik baad ya...
  10. Tit4tat

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

    Ni taarfa ya uhakika, binafs nimepgiw cmu na mtendaj pia nipo sehem husika itakayfanyka semina kwa uku niliko hakuna maandalz ya kuanz semina kesho
  11. Tit4tat

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

    Nafkir nch nzima, hata uku wamebadil Nipo Lindi
  12. Tit4tat

    JamiiForums Tanzania Matengenezo airport Mtwara kumalizika wiki ijayo, yafika 92%

    Pcha tafadhar.......
  13. Tit4tat

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

    Madame S: Zitatumika tablet zao(serkali)?
  14. Tit4tat

    JamiiForums Tanzania Amemaanisha mimi KITORA au NINA GUNDU?

    Ahsante sana Mkuu...
Back
Top Bottom