Amemaanisha mimi KITORA au NINA GUNDU?

Amemaanisha mimi KITORA au NINA GUNDU?

Haya maisha ya kusaga mahindi mashineni na kuenda kupika bado yapo ? Haya ni maisha ya mwaka 2000 huko
 
Haya maisha ya kusaga mahindi mashineni na kuenda kupika bado yapo ? Haya ni maisha ya mwaka 2000 huko
Aisee kwa mfumuko wa bei za vyakula bora kununua Mahind na kusaga, kwasbbu Mahind 1kg=700 kusaga 100Tsh kwaiy kg 1 =800 au 900 ukikoboa
Lakin unga uliotayar madukan 1kg 1400
 
Chumv ya mawe unaitia kweny maj au
 
Wanajukwaa, yule msagaji wa mashine nimepata taarifa zake japo kwa uchache...

Huyu jamaa kipind cha nyuma alkuw na maisha safi saana, mwishoe akafirisika...

Aliuza had nyumba,, baada ya kuangaika kwa mda mrefu akapata iko kibarua cha kusaga apo mashnen...

Mimi binafs ninamfaham kwa tabia hizi
Muonekano ni mfupi na mnene
Hana lugha nzur na wenzak(wateja), anajkubali saana
 
Ahsante sana Mkuu...
 
Ni mpuuzi tu asipoangalia ataferi maisha.....
 
Huko lindi bana, miaka ya nyuma niliwahi kwemda. Kabla sijaondoka mshua wangu akaniambia, nakujua wewe ni kibolo dinda. Kamwe kamwe kamwe usiende huko ukaanza kutembeza mkia kwa wanawake wa hapo.
Kwakua hajawahi kunikataza kuchakata ilibidi nisikilize na kukubali. Nlivoenda kuke nkapeleleza nkapewa stori ya jamaa mmoja, kwakweli nilirudi mkoa na ugwadu wangu umejaa kwenye kibuyu!
 
Habari wanajukwaa,

Leo asubuhi imetokea sitofaham nilipoenda mashinen kusaga nafaka..

Niliishiwa unga ghetto nikaenda mashnen kusaga mahindi, nilipofika tu msagaji akaniulza utasaga kg ngapi nikamwambia tano tu. Mahindi yanauzwa hapo hapo.

Jamaa akanambia wiki ilopita nilipokuja kusaga hakupata hela, yaani hakupata wateja wa kununua Mahindi na kusaga.

Kwaiyo biashara nkiifungua mimi atakosa wateja wa kutosha kwa sababu siku niliyoanza kuhudumiwa mimi hakupata hela.

Kiukweli nilijisikia vbaya, akasema nkihtaj nikanunue Mahindi sehem nyingne halaf yeye atanisagia, binafsi nikaona kanidhalilisha nikaenda kusaga sehem nyingne sikurud tena kwake.

Wafanya biashara(walimwengu) hii imekaaje, siku ya leo nimekosa amani kabsa kutokana na tukio hilo..

NB: Jamaa wa mashnen sina utan nae hata kidogo ni mtu mzima (40-50 miaka).

Najiulza kaniona mi KITORA au NINAGUNDU?
Tafuta pesa kwa uchungu sana....
 
Ugumu wa maisha hufanya watu kuwa na imani za ajabu sana, pole sana mkuu. Achana na mambo ya kusaga kilo5 nunua unga dukani siku ukipata hela ya pamoja saga debe
 
Gundu lipo ila hangejibu vile, angezuga kwa kusema hauzi kg. 5 ni kuanzia 10. Au angejifaya kwenda kujisaidia ili kusukuma mda uende ili aje mteja mwingine aanze nae.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya maisha ya kusaga mahindi mashineni na kuenda kupika bado yapo ? Haya ni maisha ya mwaka 2000 huko
Boss,kwani wewe ugali unaokula unanua unga tuu?
Mfano Mimi nyumbani unga tunaupata kwa kusaga mahindi.
 
Back
Top Bottom