Zinahesabiwa ndio maana kuna options 2
Kama ni shorts basi uwe na jumla ya 10M views kutoka kwenye short video.
Na kama ni video ndefu basi inabidi uwe na jumla ya masaa 4hrs ambayo ni kama view 250k.
1.Wanaotuombea mabaya ni wengi mno bila sisi wenyewe kujua.
2. Huwa nawaambia watu pesa Ina kawaida ya kuongea yenyewe Ina lugha yake,haihitaji msemaji Wala mwakilishi[emoji1][emoji1][emoji1].
Lugha rahisi angalia watoto wa kishua mionekano yao,utanielewa.
3. nilipokuwa mdogo nilikuwa nawaza...
Kwa video editing tumia 'youcut' au video 'maker' hizo zipo vizuri sana na ni simple kutumia
Mm ndio huwa natumia
Na kwa picha tumia photoroom- hii mm huwa natumia kutengenezea thumbnail
Kwa ww kweny matangazo ndio penyewe.
Hapana hauhitaji kuwa na camera kama ni picha zipo mtandaoni na kama ni clip za video pia zipo tena za free ambazo yeyote anaeza kuzitumia bila kubughudhiwa.
Ukitaka kupata idea kirahisi basi angalia kile kitu ambacho unakipenda na ukigeuza kuwa contents, sababu kama kitu unakipenda basi huwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.