JBL SOUNDBAR zinazofanya vzr kwa ss hvi zipo za aina tatu

JBL 2.1 total power up to 300W

JBL 5.1 total pwer up to 510W

JBL 9.1 total pwer up to 820W
Tuanze na sababu ya uhitaji wako wa soundbar nyumbani?

kuna jamaa amesema either unahitaji kwa ajili ya matumizi tuu ya nyumbani

like , music, kusklzia movies na kuconnect na blutooth supporting devices such as simu ama ipad even

computer ama laptop

JBL 2.1 ni nzuri sana kwa kutumia kusklzia MOVIE inatoa ORIGINAL MOVIE SOUND na syo sound zile za makelele km upo kidimbwi unasklza vdeo mpya ya marioo


, kama ulishawah ingia CINEMAX utakua unanielewa namaanisha nn.

So km unatk soundbar alafu ww ni mtu wa movie sana nenda kwnye JBL 2.1 itakufaa sana
View attachment 2353409

JBL 5.1 hii ni nzuri kwnye kusklzia mziki, kuanglia movie pamoja na kuconnect kwa blth, hii kwnye ile bar yake kuna detachable wireless speakers ambazo zina uwezo wa kukaa na charge mpk masaa 10
View attachment 2353410

JBL 9.1 hii ni nzuri kwa mtu unayetka soundbar kwa ajili ya mziki mnene, watts 820 ya JBL siyo mchezo ina ngvu sana, hata muonekano wake ukiiona in reality utaelewa namaanisha nni. Pia hii nayo ina detachable wireless speakers ambazo nazo zina uwezo wa kukaa hadi 10hrs zikiwa zinapiga
View attachment 2353411

Jbl 5.1 na 9.1 utofaut wao uko kwnye Watts pamoja na ukubwa wa mziki unazozitoa ila mambo mengne yote yako similar sana..

Tuje kwnye Gharama ama bei zao

JBL 2.1 ni 950k mpk 1.2M

JBL 5.1 ni 1.75m mpk 1.95M

JBL 9.1 ni 2.5M mpk 2.75M

Note hzi ni bei za kariakoo
Ukienda sehem km mlimani city ama masaki hyo ya 9.1 wanauza 4.5M



but those are with same quality