Miaka mitatu niliponunua mpaka leo natumiaPoweramp shida yao baada ya mda fulan wanahitaji kulipia.
Inapatikana galaxy store?Samsung Music kwangu haina mpinzani
Nishirikishe rafiki na mie hiyoNnayo ambayo si ya kulipia
Tafta selenium music player nayo ni moto.Je ni apps gani bora ya kuplay music offline yenye Equalizer nzuri kwa simu janja kati ya hizi Poweramp Music Player, N7 player, NRG player & Jet audio player!!?
Kwangu poweramp music player haina mpinzani..
View attachment 1654310
AIMP ina sound process nzuri sana. Try out selenium player nayo ina sound poa mno.Nimeziona zote, Poweramp pamoja na jet player!! Ingawa Jet player ina ads kitu ambacho binafsi ninakereka nacho sana, lakini inakitu flani hivi tofauti ukilinganisha na Poweramp ambayo naona watu wengi watasema ni nzuri labda kwa sababu ya "skin" zake!
Zote hizo mbili kwangu mimi bado naona zitasubiri sana kwa AIMP. Iko poa na ni very simple. Unaweza ukaijaribu na kuiona! Ila ubaya wake ni audio player tu, haichezi video!
Asante