Recent content by tired

  1. T

    Kutuma pesa kutoka Sweden kuja Tanzania

    Hii unafanyaje, Mtu ninaetaka kumtumia yupo Tanzania anatumia benki ya NMB
  2. T

    Kutuma pesa kutoka Sweden kuja Tanzania

    Ukiacha western union, Kuna huduma yoyote ya kutuma pesa kuctoka sweden kuja Tanzani
  3. T

    Wauzaji wa jumla wa vyakulavya mifugo

    kwa mwenye kujua, naomba aniwezeshe kujua wauzaji wa Jumla wa vichanganyio vya chakula cha kuku. Mimi ni mfugaji mdogo wa kuku, nataka kununua vichanganyio kama vile Mashudu, Mifupa, chokaa kwa wingi. natumaini nikinunua kwa jumla nitapata unafuu wa gharama. Mahali nipo Dar shukrani sana
  4. T

    Mke wangu kuvaa nguo zangu za ndani

    Baadhi ya wanawake uwa wanalalamika kuwa vyupi vyao vinawakosesha raha kwa kuwabana zile sehemu za maungio ya mapaja. Hivyo Akivaa boxer anakuwa huru na kujisikia vema. KUHUSU KUVALINA ndio mapenzi yenyewe hayo. Saa zingine anaweza vaa shati lako au Tshirt na akawa huru tu.
  5. T

    Maintainance kwa mashine inayoleta hasara! Cost sharing iendane na hali halisi

    Hao private wanaotoza 350,000 kwasababu zifuatazo 1. Kulipa mishaara 2. Kuendesha Hospital 3. Kupata faida. kwanini Serikali inatoza Kiasi cha chini 1. Serikali inatoa huduma 2. Serikali inatoa ruzuku kila mwezi. 3. Serikali inajenga na kufanya miradi ya maendeleo hapo Hospitalini 4...
  6. T

    Ufugaji wa Kuku wa Kisasa: Fahamu Mbinu, Faida, Changamoto na Masoko

    Katika Mtizamo wa kibiashara wenye faida nzuri kufuga kuku wa Mayai na kufuga kuku Chotara ni aina gani ndiyo nzuri. shukrani sana
  7. T

    China: Fursa za biashara, usafiri na masoko

    Nataka vifaa vidogovidogo kama Empty CD, DVD External drive, Flash disk, wino wa photocopy. Kwa vifaa hivi nafikiri naweza nunua alibaba zen nikasafirisha kwa DHL. Mtaji ni Tsh 1M
  8. T

    Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

    Vifaranga wa wiki 2 ninaweza kuwapa MLONGE au Muarobaini kwa ajilia ya kinga
  9. T

    Utengenezaji joto la kuku

    Nashukuru sana kiongozi, nitaufanyia kazi ushauri huu
  10. T

    Utengenezaji joto la kuku

    Naona hipo njia moja tu ya Jiko la Mkaa. Ngoja nikajaribu njia hiyo hiyo
  11. T

    Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

    kila Mwenye maarifaakifanya kama unavyo fanya ww basi Thread hii isingekuwepo na wala hatutofika. hapa tupo kujengeana uwezo na kupeana Maarifa. Kuna ubaya gani kama uki itaja hiyo dawa au ukaelekeza namna inavyo tengenezwa? Badilika Kiongozi
  12. T

    Utengenezaji joto la kuku

    aksante sana vipi kama nikitumia taa ya chemli nayo ina madhara yoyote?
  13. T

    Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

    Naomba kufahamishwa Namna ya kumuwekea kuku Mayai. Je una mkamata na kumtoa pale ktk kiota? Mayai naweza yawekea Alama kwa Pensil au Marker pen?
  14. T

    Utengenezaji joto la kuku

    Wataalamu, Ninafuga kuku wa kienyeji. Mara baada ya kuku kutotolewa huwa nawachukua na kuwaifadhi tofauti na Mama yao. Mazingira ninayo ishi hakuna Umeme. Naomba kujua ni njia gani bora naweza kuitumia ktk kuwatengezea vifaranga joto nyakati za Usiku.
Back
Top Bottom