kwa mwenye kujua, naomba aniwezeshe kujua wauzaji wa Jumla wa vichanganyio vya chakula cha kuku. Mimi ni mfugaji mdogo wa kuku, nataka kununua vichanganyio kama vile Mashudu, Mifupa, chokaa kwa wingi. natumaini nikinunua kwa jumla nitapata unafuu wa gharama.
Mahali nipo Dar
shukrani sana
Mahali nipo Dar
shukrani sana