Recent content by TINGISHAA

  1. T

    GE2015 UKAWA ni Genge hatari kwa amani, utulivu na maslahi mapana ya Tanzania

    hapa unatetea genge lenu au vp! hii parapata na mdomo mrefu unajipendekeza kwa nani, unamshutumu kila wa ukawa, wewe na genge lenu mnautakatifu gani! ni juzi tu jizi lililokomaa ati ni mwenyekiti ktk kamati ya bunge kwa wakati mrefu nchi hii ni ya maigizo lkn siku kweli...
  2. T

    Kumbe Lowassa kutoa 'password' jinsi ya kuiba kura ndiyo kumesababisha UKAWA kushindwa!

    hdio mnavowaaminisha watu hivyooo? kama mlishinda kweli kwa KURA HALALI? kadiri siku zinavosonga mbele hali itajionesha kwa matokeo yake kumbuka dhulma yoyote iok siku itajiweka wazi. kivipi! una masongombingo yatayotokea.
  3. T

    Maalim Seif: Mimi ndio Rais wenu

    aaa nenda wewe! mmekamatwa na makura feki kila kona ya TZ TENA si kwa kisanduku kwa malori alafu unasema mna kura za kuwa na gep nyie mmelazimisha haya twendeni tuone lkn msijisifie mlikuwa na kura za kushinda na kuhusu znz bora ukae kimya huna unachokijuwa siasa zetu za...
  4. T

    Maalim Seif: Mimi ndio Rais wenu

    HEBU tuelimishe vp anachukia muungano
  5. T

    Mawaziri Sita wameachia nyadhifa Zanzibar

    hizo ndio madrasa akili kubwa udr na uprof. unapiga saluti hapo ingawa imetengenezwa kuonekana ni za wajinga. wanaposhindwa na hoja zao ndio huwazushia ugaidi .
  6. T

    SMZ: Suala la kurudiwa uchaguzi mkuu wa Zanzibar halina mjadala!

    ukiambiwa nawe jiambie tume na secretary yake ni ya ccm msimamizi mkuu alikuwa huyo mh makamo wa pili walikoroga daftari kama tulivyona kwa kujaza watu waliokuwa siwo wakakatalia wengi walikuwa na uhalali wakupiga kura wakajaza mpk marehem haikutosha wakakoroga majimbo pia bado...
  7. T

    Prof. Kitila Mkumbo, muogope Mungu!

    ndio maprofesa wa aina hio wapo wengi kwa kazi hiyo kwani sasa utasikia kila mmoja ni profesa ni dr. lkn nchi ina nini zaidi ya madeni juu ya rasilmali zote ilizokuwa nazo bora sisi tunaojituma kuvuta matoroli na maguta tunazalisha kuliko hao wenye majina ya taaluma kumbe hawana lolote...
  8. T

    Prof. Kitila Mkumbo, muogope Mungu!

    kama unavosema chadema kukaa na fisadi letu yaani moja laana kubwa sasa nyinyi nyote ni mafisadi watupu waliouza migodi wanaouza nyara wanaouza cocain walochota epa escrow meremeta tan gold radar helicopters ndege ya rais bomba la ges. vp apo laana yenu ni kiasi gani
  9. T

    Magufuli: Anza na wabunge kuisoma namba

    miongozo yote yakiroho inasema usidhulumu na usikubali kudhulumiwa lkn hata hatuna habari kabisa tunaona kama ni nyimbo tu wengine wanajiona ndio usmart kunyan'ganya ikiwa kwa akili au kwa nguvu lkn amini malipo yake yanapokuja hayakwambii ulifanya nini ila unabaki kupiga mayowe na...
  10. T

    Ushauri wangu kwa Mzee Samuel Sitta

    huyu atafia kwenye kiti kwani lengo lake na kundi lake halijatimia
  11. T

    If no dirty tricks, what is wrong with independent tallying for verification?

    kwani tallying ni nini hata iwe kosa kwasbb mgeni kafanyia tz basi wafungeni MATX wote wanao fanyanya kz TZ
  12. T

    If no dirty tricks, what is wrong with independent tallying for verification?

    ivi kuna asiehesabu mapato yake? au ndio chakwako chako na chakwangu chako? hutofika mbali
  13. T

    Wazanzibari wamuadhibu Seif kwa kushirikiana na Lowassa

    ningemuomba tu akaweka picha inokwenda na jina lake sio kuidhalilisha hijab wakati ni fox
  14. T

    Lowassa na mamluki wazungu waliotaka kuhujumu nchi kwa kuingilia mawasiliano ya NEC

    mmeshafanya mlivofanya sasa kwanini tena mchochee machafuko? kama hamjuwi marudio ya dhulma tuombe uhai.
  15. T

    Lowassa na mamluki wazungu waliotaka kuhujumu nchi kwa kuingilia mawasiliano ya NEC

    ni kweli maana ni mteule wa ccm si Rais wa watanzania
Back
Top Bottom