miongozo yote yakiroho inasema usidhulumu na usikubali kudhulumiwa lkn hata hatuna habari kabisa tunaona kama ni nyimbo tu wengine wanajiona ndio usmart kunyan'ganya ikiwa kwa akili au kwa nguvu lkn amini malipo yake yanapokuja hayakwambii ulifanya nini ila unabaki kupiga mayowe na kulalamika. hapa ni mwanzo tu! tunokokwenda ndio hatujuwi kweli itakuwa kazi tu! au machozi!