Recent content by Timtim

  1. Timtim

    JamiiForums Tanzania Kama Tanzania itaishinda corona kutokana na msimamo wake, Rais Magufuli atakuwa kivutio cha watalii kama mfalme Suleiman

    Naona kuna double standard. Wabunge walijipunguza idadi ndani ya mjengo. Lakini sokoni kariakoo hali ni ile ile tuchape kazi. Kwani coronavirus inawafuata wakubwa na kuwaachia walalahoi masokoni na ndani ya madaladala? Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Timtim

    JamiiForums Tanzania The World is a flat plane and not a globe

    Zipo ndege kutoka Australia to US eastwards Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Timtim

    JamiiForums Tanzania Polisi kuanza 'doria' mtandaoni!

    Wamechelewa kuchukuwa uamuzi huu. Vyema kabisa
  4. Timtim

    JamiiForums Tanzania Kuna watu wanapata like humu za ajabu

    Inapendeza basi
  5. Timtim

    JamiiForums Tanzania Wakuu kuna usalama huko nje,nasikia mingurumo mizito.

    Diwali
  6. Timtim

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Tanga kuzuri Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Timtim

    JamiiForums Tanzania Nini maana halisi ya kuzini (You shall not commit adultery)

    Yote ni zinaa awe kwenye ndoa ama nje ya ndoa ili mradi hawakuoana na wakafanya tendo basi ni zinaa
  8. Timtim

    JamiiForums Tanzania Nini maana halisi ya kuzini (You shall not commit adultery)

    Ungefurahi mtu akazini na dadako ama mamako (iwapo ni mjane)? Kwa sababu tu wamekubaliana kufanya hilo tendo. Huo ni uchafu. Na kutakuwa hakuna tofauti kati ya binadamu na mnyama.
  9. Timtim

    JamiiForums Tanzania Tufanye nini ili TBC iwe na mvuto kwa watazamaji?

    Waonyeshe bunge live
  10. Timtim

    JamiiForums Tanzania Machinga wapinga agizo la RC Dar kuzuia uuzwaji wa Filamu za nje ya nchi, Waandamana

    Nadhani basi hata runinga zetu ziache kuonyesha vipindi vyote vya nje.
  11. Timtim

    JamiiForums Tanzania Zitto: Amri ya Rais Magufuli kuhusu 'Mchanga wa Dhahabu' imepotezea nchi Tshs 1.8 Trilioni Capital Gains Tax

    Hatujapoteza kitu chochote. Huo mchanga uchunguzwe kama alivyosema Mheshimiwa Rais wa nchi.
  12. Timtim

    JamiiForums Tanzania Joseph Kasheku (Musukuma): Kitambulisho cha askari yeyote ni bastola

    Kitambulisho cha jambazi ndio silaha na wala sio kitambulisho cha askari. Askari wamefunzwa na wana nidhamu. Utamtoleaje silaha mtu asiekuwa na silaha yeyote.
  13. Timtim

    JamiiForums Tanzania Madhara makubwa ya kumtisha Rais wa Nchi!

    Mods huu uzi gani tena? Uondoe usituharibie hali ya hewa
  14. Timtim

    JamiiForums Tanzania Peter Msigwa: Ujio wa Katibu UN, Rais amepoteza fursa kimataifa!

    Mheshimiwa Rais Magufuli alikuwa na shughuli nyingi. Baada ya ziara ya Lindi na Mtwara alirudi Dar na siku ya pili kuunganisha Morogoro kulee jeshini. Alipomaliza shuguli ya Morogoro akaelekea Dodoma ambapo siku ya pili yake alifanya kikao na mawaziri wake. Baada ya shughuli za kiserikali...
Back
Top Bottom