Huku tunapokwenda inabidi watu wazidi kutafuta pesa, miaka hii na inayokuja ni vipindi vibaya Sana Kwa maskini, zamani tulikuwa na mashamba, mifugo nk tulikuwa tunakula vitu vya shamba vizuri, physically fit na afya ilitengamaa vizuri, kama ni mwanaume basi kidume kweli kweli...Sasa Kipindi hiki...
Kumbuka dunia hufa na kuzaliwa upya(rebirth), dunia ilikufa na kuzaliwa upya si mara moja Bali mara nyingi. Hata Sisi mambo yetu na vitu vyetu vitaondoka, watakuja wengine ambao wataanza upya nao watashangaa tulivyojenga na kuacha alama.
Kitu watu wasichokijua ni kwamba Kila wakati ambapo...
Usiyaamini Sana maneno ya viongozi wa bongo, ukisikia kiongozi bongo anasema "Itakuwa hivi sijui vile" basi kaa mguu nje na mmoja ndani...Kwa bei hizo ni mafisadi, wazee wa shortcut, matajiri wawili watatu, foreigners ndo wanaweza kuchukua hizo.
Utoto Sana hao Jamaa, mm situmii laini zao tena wapuuzi hao, haiwezekani nitoe pesa halafu manyoya, hivi kweli time hii ni muda wa kuambiwa can't load kweli?
Maswali personal hayafai kumuuliza mtu mtaani, wala si ndugu tena mmekutana Tu mtaani kwenye harakati za Hapa na pale hata kazi zenu haziingiliana unaanza kuuliza vitu binafsi, huu si utaratibu mzuri na ndo uchawi unaanza Hapa.
Ndio uhalisia mkuu, Jew ambaye ameshikilia uchumi wa dunia huona Sisi wengine ni pawns kama tupo duniani kuwatumikia wao, hutuita goyi, Yule pedophile Epstein na wenzake wametufumbua macho.
Magaidi na Zionists akili zao zinaendana lakini Zionist Yuko mbele ya gaidi maana huiba Hadi mataulo ya hotelini wakiamini gaidi akija atayaiba yy Kwanza hivyo wanawawahi Hadi kwenye mataulo na sabuni za hotelini, roho mbaya Hadi vitu vidogo hahahh
Kuua watoto zaidi ya 40,000 Kwa gharama ya magaidi si mchezo, inahitaji moyo wa chuma na kujikana nafsi kweli kweli... Mafundisho ya kiyahudi husema kuwa yoyote asiye Jew ni sawa na mnyama, ukiua goyi(asiye Jew) ni sawa umeua mnyama. Lawama ziende Kwa Magaidi na Zionists.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.