Recent content by tillyaer

  1. T

    VODA; Intanet bila kikomo

    Wanajamvi naomba kujuzwa bando ya internent ya voda bila kikomo(10,000 siku 7) unaweza kusurf na kudownload movie upendavyo au wana limitation/ maana nyinge.sababu haya makampuni ya simu mda mwingine hayaeleweki
  2. T

    idara ya upasuaji wa watoto yapoteza daktari mwingine

    Maisha yetu yanazidi kuwa hatarini! Pole sana wafiwa ! R.I.P our beloved doctor!
  3. T

    Ray C amtembelea Rais Kikwete Ikulu jijini Dar, amshukuru kwa msaada wa matibabu!

    Ningemwona wa maana kama angetangaza mkakat wa kuthbiti uingizwaji na ma2mizi ya dawa za kulevya!
  4. T

    JK akiri kufanya makosa sekondari za kata

    Wanafunzi wanaofeli shule za kata ni laki kadhaa..na hiki chuo kinadahili wanafunzi wachache tena kuanzia level ya uzamili...JE kuna kuna uhusiano gan kati ya kuwepo kwa hki chuo na kusahihisha makosa ya kukosekana kwa maabara ktk shule za kata?/matokeo mabovu ya shule hzi?
  5. T

    Mapenzi na aina za simu au vitu anuai…

    Like AFRICA..(After ****ing rest in cool Air)
  6. T

    Mgeni

    Wel come home of great thinkers...
  7. T

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Mbeleko ya mnyororo.
Back
Top Bottom