Recent content by Tilagana Muganyizi

  1. T

    JamiiForums Tanzania OCD Geita wachunguze askari polisi hawa wa Kituo cha Nyarugusu

    Hawa maaskari hawa!Basi tu!ama zao!problem wanadhani wao wako juu ya sheria na kujiona kwamba kazi yao ni exeptional! Sent using Jamii Forums mobile app
  2. T

    JamiiForums Tanzania OCD Geita wachunguze askari polisi hawa wa Kituo cha Nyarugusu

    Mh OCD,salamu!mimi ni raia mwema ninayeishi Nyarugusu.Nalipongeza jeshi la polisi kwa kazi nzuri mnayoendelea kufanya. Hapa kituo cha Nyarugusu kuna askari wawili wamekuwa kero kwa muda mrefu.Hawa ni Askari anajulikana kama TRUMP na mwenzie Afande Frank. Napata mashaka makubwa na weledi wa...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Baada ya Kangi Lugola, nani kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani?

    We unajuaje atatoka? Sent using Jamii Forums mobile app
  4. T

    JamiiForums Tanzania Walimu wana wakati mgumu! Darasa limejaa wanafunzi zaidi ya mia moja hana hata pa kukanyaga!

    Kazi ipo Sent using Jamii Forums mobile app
  5. T

    JamiiForums Tanzania Marekani: Mahabusu rapa Suge Knight yameshamkuta kama yako

    Wote waliohusika kumfanyia Kabendera uhuni huu, Mungu awamulike kwa jicho kali, POLE NDG KABENDERA Sent using Jamii Forums mobile app
  6. T

    JamiiForums Tanzania Justin Kasusura ashinda rufaa na kuachiwa huru, alishutumiwa wizi wa Dola mil 2

    Poa Sent using Jamii Forums mobile app
  7. T

    JamiiForums Tanzania Hawa wanawake wana ndoa?

    Omba mzigo, piga, sepa
  8. T

    JamiiForums Tanzania Serikali: Siku za Kigogo wa Twitter zinahesabika na hana siku nyingi

    Lugola mzee wa kiki na kukata mauno,hana jipya huyo
  9. T

    JamiiForums Tanzania Inawezekana CAG alisema wabunge wa CCM pekee ndio dhaifu ila waupinzani sio dhaifu.....

    Professor Assad ulisimama katika kweli na haki, Mungu akubariki sana, maisha lazima yaendelee
  10. T

    JamiiForums Tanzania Lugola : Tangu nimeteuliwa sijawahi kupokea malalamiko ya vyama vya siasa kuzuiwa kufanya mikutano

    We Kangi bonge ya mnafiki!Unajipendekeza tu,mwone!
  11. T

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Azam TV waanza kurejesha local channels free

    Chanel zote zenye element ya ufwisiem, tupa kuleeee
  12. T

    JamiiForums Tanzania Kipi hasa alichokosea Rais hadi kukosa imani nae 2020?

    Hatutaki WATAWALA, tunataka VIONGOZI
  13. T

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, tengua haraka agizo la Makonda kabla halijaleta madhara yoyote

    Ukiona kupiga deni noma, usichafue mazingira
Back
Top Bottom