Nn maoni yako juu ya uteuzi ulofanywa na mwenye nchi kwa nafasi ya CAG?

Ameondolewa kwa maslahi binafsi pengine kwa kuhoji matumizi yasiyoidhinishwa na bunge. Pia utaratibu wa kumwondoa haukufuatwa kama ilivyo kwa wengi wanaotumbuliwa.
 
Potelea bwete
Screenshot_20191030-184944.jpeg
 
Ameondolewa kwa maslahi binafsi pengine kwa kuhoji matumizi yasiyoidhinishwa na bunge. Pia utaratibu wa kumwondoa haukufuatwa kama ilivyo kwa wengi wanaotumbuliwa.
Swali ni : uteuzi, hoja ya aliyeondolewa ianzishie Sered mpya ili tutiririke
 
Ukishayapata Maoni inakusaidia nini? Maamuzi yameshafanyika, tafuta Ngawira mkubwa.
 
Kuanzia sasa taarifa za ubadhirufu hasa matumizi nje ya budget ya serikali ndio hakuna tena! Ni mwendo wa kanyaga twende!
 
Back
Top Bottom