Rais Magufuli, tengua haraka agizo la Makonda kabla halijaleta madhara yoyote

Dawa ni kutotupa taka ukiwa ndani ya gari.., la sivyo tembea na maji na dekio kabisa, hatutaki ujinga, tumechoka na uchafu.
Nazungumzia aina ya adhabu na mazingira yake yanatekelezeka?, foleni, kasi ya magari, dereva mgonjwa n.k.
 
Ukitaka kujua swala la kumfunza mwanao umuhimu wa kutunza mazingira ni jukumu lako mzazi, pita makongo kuelekea tegeta mtoto wako atupe uchafu pale. Ndo utajua moto wake
Nimegundua kuwa nina kiwango kikubwa cha uelewa kuliko UVCCM ngoja nikae kimya, nitakuwa nawajibu wenye uelewa tu
 
Hilo tolea ushauri unataka wapewe adhabu ipi... sio kuandika ya watu kutofunzwa makwao.
Mkuu kuna vyombo maalumu vya kutunga sheria, vikihitaji maoni yangu nitatoa, lakini kumbuka binadamu hatulingani kiakili pamoja na matunzo, wengine hawajapata malezi ya wazazi n.k.
 
Sheria zinatungwa na taasisi maalumu sio mtu mmoja anajiamulia tu anavyojisikia
hilo ni agizo lake kwa mkoa wake, siyo sheria ya nchi..... MOSHI WALILALAMIKA SANA LAKINI BAADA YA WATU KUKAMATWA NA KUTOZWA ELFU 50 HAKUNA ANAYETHUBUTU KUTUPA HATA GANDA LA PIPI.
 
Hao watoto ni jukumu la mzazi kuwafunza.. sio kitu cha eti ifutwe kisa malez.. jaribu lingine.. kumbuka watu wazima nao humo humo.. na iendelee ikiwezekana.


Naafikiana nawe, mleta mada hajapima hoja yake, sijui hao watoto ndiyo huendesha hayo magari!!?
 
hilo ni agizo lake kwa mkoa wake, siyo sheria ya nchi..... MOSHI WALILALAMIKA SANA LAKINI BAADA YA WATU KUKAMATWA NA KUTOZWA ELFU 50 HAKUNA ANAYETHUBUTU KUTUPA HATA GANDA LA PIPI.
Sawa kabisa, wewe umenielewa, aina ya adhabu tena isipangwe na mkuu wa mkoa bali ipangwe na vikao halali vyenye majukumu hayo
 
Naafikiana nawe, mleta mada hajapima hoja yake, sijui hao watoto ndiyo huendesha hayo magari!!?
Mkuu wewe umeamua kuchagua pointi yake ya watoto tu, zipo sababu nyingi tu ambazo baadhi nimezitaja hapo
 
Nimekuelewa vizuri, mi nadhani tusubiri tuone watakaopewa adhabu ukute watapewa maji na dekio kurahisisha kazi
Foleni, kama hakuna foleni kwa mfano, maana siyo kawaida Dar kutokuwa na foleni ukikutana na magari yenye kasi kubwa si utasabisha ajali na foleni kubwa?
 
Jamaa'ko kakurupuka. Nae kawa mtunga sheria siku hizi
Toka lini sheria zinatungwa na mtu mmoja halafu watekelezaji wa adhabu wanapewa wanajeshi?, hii ni hatari sana, tena anayetoa agizo sio amiri jeshi mkuu wa majeshi nchini
 
22 Reactions
Reply
Back
Top Bottom